Maadhimishi ya miaka 12 ya Kifo cha Nyerere Bila Rais wa Nchi

issenye

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
3,729
5,072
Ndugu Watanzania wenzangu, leo tunakumbuka miaka 12 toka Muasisi wa Taifa hili la Tanganyika Mwalimu J. K. Nyerere kufariki dunia, pamoja na kuwashwa kwa mwenge wa uhuru ikiwa na maandaliozi ya sherehe za miaka 50 ya kujitawala (Sio Uhuru kama wanavyotaka tuamini). Lakini cha kushangaza Rais wa nchi hatahudhuria sherehe hizo bila sababu zozote za maana. Je hii inamaanisha bado ana hasira na maneno ya Mwalimu aliyosema kuwa bado muda wake wa kuwa Rais haujafika?
 

Kimbunga

Platinum Member
Oct 4, 2007
14,869
9,820
Mkuu nadhani wamejiwekea utaratibu kwamba Makamo awashe mwenge na Mkuu auzime!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom