Sikia baba wa taifa!

Bambanza jr.

JF-Expert Member
Aug 6, 2011
355
36
Leo tunamkumbuka mwl. Jk nyerere baba wa Taifa letu, kijana huyu wa kizanaki aliukwaa uwaziri mkuu akiwa na miaka 36 na urais mwaka mmoja baadaye. NISIMWELEZEE SANA KWANI NAAMIN ANAJULIKA VEMA, lakujiulza ni kwel bado tunamuenzi Nyerere? Naona tumekuwa tukitumia hotuba zake tu na sio kufanya aliyoyapenda.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom