Wabongo tukikatazwa, tutaacha????

Roulette

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
5,592
5,337
Jamani nilikua nasoma habari za mazingira hapa: Les détritus dans le Pacifique 2 - La Lettre Ecol'Eau nikaona hii picha ya msasani, roho ikauma sana.
Hivi kwa kuanza mabadiliko, almashauri ya mji wa Dar Es Salaam ikitukataza kutumia mifuko ya plastic (polythene bags) itakuwaje?
Hatuna kabisa mbadala? mbona nchi kama Rwanda wameweza? Wewe binafsi utachukuliaje uamuzi huo?

800px-Beach_at_Msasani_Bay_Dar_es_Salaam_Tanzania.jpg
 

Roulette

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
5,592
5,337
wabongo wabishi RR, Itabidi hadi wachungwe.
Sio swala la ubishi Husney. Nadhani ni swala lakutangaza tu na mifuko yoye ichomwe moto. from then wakikukuta na mfuko unafungwa. itakuwaje hapo?
 

Roulette

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
5,592
5,337
Hivi hapa dar kuna kiwanda cha paper bags (za makaratasi, au recyclable)?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom