CUF waibwaga CCM kesi ya uchaguzi Kilwa

MANGI MASTA

Senior Member
Jul 14, 2011
175
56
Leo kuanzaia saa 2 had 7 katika viwanja ya mahakama ya kilwa masoko umati wa watu ulikuwa umejaa na FFU wengi wamemwagwa eneohilo,ilikuwa ni katika kusubiri hukumu ya kesi iliyodumu takribani mwaka mmoja ambapo aliyekuwa mgombea wa ccm jimbo la Kilwa kusini wa Bw.Ramadhani Madabida alifungua kesi dhidi ya mbunge mchaguliwa wa CUF.Mh.Suleman Bungara(maarufu kwa jina la *****).Miongoni mwa tuhuma za CCM waliwatuhumu CUF kumchafua mgombea wa CCM na kwamba kunawapigakura 16 wa ccm walinyimwa kupiga kura.Baada ya masaa 4 ya kusomwa hukumu na jaji Fatma kutupilia mashtaka ya ccm dhidi ya CUF viwanja vya mahakama viligeuka ukumbi wa Sherehe kwani wakazi wengi wa jimbo la Kilwa kusini hasa wafuasi wa CUF walikuwa wamejaa mahakamani hapo kujua hatma ya kesi ya Mbunge wao.
 
Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,271
669

Sasa nani kashida m wingine? cuf=?
 
mama kubwa

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
5,090
7,820
mume alimshaki mke au ilikuwa bado wakati wa uchumba? cuf ni historia tz bara lete habari nyingine tafadhali.
 
Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,882
Kumbe hata ninyi mnasema cuf ni ccm b? Mbona wakisema cdm hivyo mnakuwa wakali? Au ndio stori ya kunya kwa kuku au bata!?

Ukisema ninyi una maana hata mimi .Ukumbi huu ni wa JF si Chadema wala nini.Sisi watanzania tunasema kamba KAFU na CCM ni wale wale sasa Chadema unaitaja hapa kwa lipi ?
 
BBJ

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
1,183
159
Mama kubwa kwani ma konda hawana haki ya kutembelea JF na kupost mada?Acha u selfish.
 
Ibrah

JF-Expert Member
Mar 22, 2007
2,730
520
Nampa hongera huyo Jaji kwa kukata hukumu haraka, mbona kesi nyingine za uchaguzi hukumu hazitolewi mapema? Yaani wanataka hukumu zitolewe 2014?

Majaji wanaosikiliza kesi za uchaguzi wajipange sawasawa, wasitoe mwanya wa kucheleweshwa usikilizaji; wao Wasomi wa sheria ndio wanaosema; JUSTICE DELAYED IS JUSTICE DINIED.

Mahakama zijipange sawasawa.
 
MANGI MASTA

Senior Member
Jul 14, 2011
175
56
Kamuulize jaji ila kwa kukusaidi cuf wameshinda kesi na mh.bungara ataendelea kuwa mbunge
 
Ciril

JF-Expert Member
Jan 10, 2011
8,563
7,141
Leo kuanzaia saa 2 had 7 katika viwanja ya mahakama ya kilwa masoko umati wa watu ulikuwa umejaa na FFU wengi wamemwagwa eneohilo,ilikuwa ni katika kusubiri hukumu ya kesi iliyodumu takribani mwaka mmoja ambapo aliyekuwa mgombea wa ccm jimbo la Kilwa kusini wa Bw.Ramadhani Madabida alifungua kesi dhidi ya mbunge mchaguliwa wa CUF.Mh.Suleman Bungara(maarufu kwa jina la *****).Miongoni mwa tuhuma za CCM waliwatuhumu CUF kumchafua mgombea wa CCM na kwamba kunawapigakura 16 wa ccm walinyimwa kupiga kura.Baada ya masaa 4 ya kusomwa hukumu na jaji Fatma kutupilia mashtaka ya ccm dhidi ya CUF viwanja vya mahakama viligeuka ukumbi wa Sherehe kwani wakazi wengi wa jimbo la Kilwa kusini hasa wafuasi wa CUF walikuwa wamejaa mahakamani hapo kujua hatma ya kesi ya Mbunge wao.

Bibi na bwana wakigombana nyumbani,waache wenyewe mpaka wataelewana,lakini ukiwaingilia wakipatana utabaki na naniii eeh!!mtoto wa mama.
 
MANGI MASTA

Senior Member
Jul 14, 2011
175
56
Hongera sana mh.bungara kwa kushinda kesi.niwapongeze pia makomandoo wote wa cuf kwa kushinda kesi
 
MANGI MASTA

Senior Member
Jul 14, 2011
175
56
Bibi na bwana wakigombana nyumbani,waache wenyewe mpaka wataelewana,lakini ukiwaingilia wakipatana utabaki na naniii eeh!!mtoto wa mama

KAMA JINSI MUAFAKA CHADEMA NA CCM IGUNGA ETI KUTOPIGANA TENA.
 
WA-UKENYENGE

JF-Expert Member
Oct 1, 2011
2,920
1,226
Acheni unafki hakuna mbunge active kama *****,cc wana KILWA KUSINI ndo 2najua..ame2tetea kwenye mambo ya UFUTA....so mambo ya CCM B wala A hayawausu WANGESE Nyie

Umenishtua hii lugha uliyotumia hapa ni kali sana, sijui kama ni mimi tu jamani.
 
Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
8,177
3,326
Naona jinamizi hilo halitaishia Kilwa bali litajongea mpakaa jijini Arusha. Ni suala la muda tu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom