Miaka 50 ya UDSM: Kitivo Cha Sheria Kuadhimisha kwa Kongamano zito! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Miaka 50 ya UDSM: Kitivo Cha Sheria Kuadhimisha kwa Kongamano zito!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pascal Mayalla, Oct 13, 2011.

 1. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #1
  Oct 13, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,544
  Likes Received: 18,185
  Trophy Points: 280
  Wanabodi,

  Hii ni ya moto kabisa, nadhani JF ndio wa kwanza kuitoa rasmi!.

  Kitivo cha Sheria ndio kitivo cha kwanza kabisa kuanzishwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Hivyo sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, maana yake halisi ni miaka 50 ya Kitivo cha Sheria, na wale wahitimu 14 wa kwanza wa Chuo Kikuu ni wahitimu wa kitivo hiki.

  Kitivo hiki kilizinduliwa rasmi tarehe 25 October, 1961 na Waziri Mkuu wa Tanganyika, JK Nyerere na haya ndio maneno aliyoyasema wakati wa uzinduzi wa kitivo hiki.


  50 YEARS OF PIONEERING SCHOLARSHIP AND LEGAL EDUCATION
  “...it is not by accident that we started with a law college. An essential part of our national philosophy must be a legal profession of great integrity which not only knows the formalities of law but also understands the basic philosophy which underlies our society....”
  Mwalimu J.K. Nyerere then, Prime Minister of Tanganyika, at the inauguration of the Faculty of Law, Dar es Salaam, 25th October ,1961.  Wakati chuo kikuu kinamaadhimisho yake, kitivo cha sheria pia kufanya maadhimisho yake kwa kufanya kongamano kubwa la mihadhara ya kisheria, katika mada zitakazowasilishwa na wanasheria nguli nchini.

  Nawaombeni msome hizi attachments, muone nondo za kufa mtu kuhusiana na tasnia ya sheria.

  Karibuni!
   

  Attached Files:

 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Oct 13, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,407
  Trophy Points: 280
  Pasco bana...nasubiri utusimulie tena ile stori yako ya festi klasi za Majamba, Pangalashaba Mabudi, na Rozi Migiro.

  Halafu eti nondo za kufa mtu...ahahahaaaaa nyie "wasomi" bana...mna vinyodo panya sana.

  Na hivi kwa nini mnajiitaga "wasomi"? Mimi mpaka leo sijui.
   
 3. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #3
  Oct 13, 2011
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,096
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Nawatikia kongamano lenye mafanikio ila jamani kwanini nyie wanasheria(baadhi yenu )mnatupeleka kuzimuni na hii mikataba jamani hivi huko kwenu hakuna somo la ethics mweeh naumia sana nikisikia kwamba ni mawakili hawa wakibongo wanatupeleka machakani . Wanasheria jirekebisheni jamani mnatuangamiza tunajua kuna wengi sana wana uchungu na nchi kama prof issa shivji, mh tundu lissu, wanaharakati wote, tamwa ,leat, mkuu pasco mwenyewe naomba wafikishe wajumbe wenzako tunategemea sana hii professional ila mnatulet down
  nawasilisha
   
 4. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #4
  Oct 13, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Learned brothers hahahaha ahahahah ahahahaha!!!!!!!!!
   
 5. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #5
  Oct 14, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,544
  Likes Received: 18,185
  Trophy Points: 280
  NN, mimi profession yangu ni nyingine, nilisoma sheria just as a hobby tuu hivyo bado sija belong to the group of the ' the learned brothers' enzi zile sheria ni kwa wanaume tuu sasa ni ' the learned brothers and sisters'.

  Ni kwa waliopita sheria UD ndio wanaelewa what does it mean to have 1St ya Sheria ya Mlimani. Vyuo vingine, Mzumbe, Tumaini , Open na St. Augustine 1St Class ni za kumwaga. Hivyo whoever posses one from UD deserves hongera zake.

  Naomba kusisitiza mimi si belong kwenye hilo kundi la wasomi vinyodo panya ndio maana bado nasaga vumbi for the love of it.

  Hakuna ubishi fani ya sheria ina heshima yake katika jamii masikini kama yetu kama zilivyo fani za ualimu, udakitatari etc japo sio best paying jobs. Ni ile pride tu associated with it nothing more nothing less. Mimi personaly nabelong kwenye kundi la ma- lumpen ploretariat kwenye nchi ya ma 'Rugged Trousers Philantropists'.
   
Loading...