Fidelis Butahe
MWANASIASA mkongwe nchini, Sir George Kahama ameishauri CCM kutambua kuwa ili nchi itawalike lazima pawepo demokrasia ya kweli kinyume na hapo, umma utachoka na hatimaye...
Pamoja na ombwe la uongozi bado Tanzania iko juu kwenye utawala bora?
http://www.moibrahimfoundation.org/en/media/get/20111003_ENG2011-IIAG-SummaryReport-sml.pdf
Maigizo nchii hii hayaishi kila siku tamthiliya mpya, kuna mtu kaenda ITV anadai anafuata falsafa za mwalimu lakini anasema rushwa kubwa sio tatizo sana ila rushwa ndogo ndo zianze kushughulikiwa
Dunia inashuhudia mwisho wa dola ya GADAFI baada ya miongo takriban minne ya utawala wake.Je ni sahihi kusema kwamba nguvu ya umma imeongea?Je tuamini kwamba ni fitna za mataifa ya...
Najua siasa za Igunga zimekwisha na wachakachuaji wameendeleza historia yao kwa kujiundia vituo bandia na kujipatia kura za chee. Lakini nimejiuliza ni kwa nini makatibu wakuu hawa wa vyama...
Vitendo tunavyofanyiwa sisi waafrica vinanifanya nimwombe mwenyenzi mungu kwa nguvu kuharakisha vita ya tatu ya dunia
bila vita ya dunia nzima ulimwengu hauwezi kubadilika tena,kama wazungu...
Katika kile kinachoonekana kama kukosa akili kwa jeshi la polisi leo limezuhia mkutano wa CHADEMA ukiwa maandalizi yake yamefikia asilimia 99..Tangu asubuhi gari letu limepita kutangaza mkutano...
Kwa mujibu wa Taarifa nilizopata asubuhi hii za uhakika zinasema kuwa Aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala wa BOT Amatusi Liyumba anampango wa kuingia kwenye siasa.
Kwa mujibu wa Source ambaye ni...
Tandahimba ni jimbo la uchaguzi na pia ni wilaya katika mkoa wa Mtwara. Population ni 240,000 hivi.Kielimu iko nyuma kama maeneo mengine ya kusini yalivyo.Si ajabu mtu wa miaka 30 hadi 40 asiyejua...
Chadema wanapaswa kusoma ishara za nyakati na kubadilika kutokana na hali inavyokwenda kwa kuendesha shughuli na mikutano kwa utaratibu na sheria. Kuna mambo kadhaa ambayo wapinzani wao wanajua...
Yule mtu anayejulikana na kuandikwa ni mwizi aliwaita wale wasio wezi nyumbani kwake na kula chakula chake!!!! Ili ni tusi lingine kwa waandishi wa habari. Aidha kwa kujua au kutokujua. Wengi...
UONGOZI wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi, (UVCCM), uko hatarini kuvunjwa kwa madai ya kuwa chanzo cha migogoro ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM).
Duru za siasa kutoka ndani ya CCM...
Na Nickson Mahundi
UBALOZI wa Ujerumani nchini Tanzania umesema ubabaishaji uliokithiri nchini, ndio unakwamisha utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwamo ya maji safi na salama...
There was a moment of murmuring, disbelief and embarrassment in an otherwise beautiful event after power, perhaps not unexpectedly, went off midway through presidential fundraising dinner on...
Wakati Tanganyika, samahani Tanzania yenye umri wa miaka 47 ikiwa katika harakati za kusheherekea miaka 50 ya Uhuru, tafiti zinaonyesha kuwa umaskini wa Mtanzania mmoja mmoja unaendelea kukua...
Kuna hili wimbi la kila wilaya, mkoa, wizara na taasisi mbalimbali kufanya sherehe kwa kutumia gharama kubwa wakisherehekea miaka 50 ya uhuru wa nchi ambayo hata haipo ambapo hitimisho litakuwa ni...