Watawala wetu wajifunze nini kutokana na anguko la "COLONEL GHADAFI"? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watawala wetu wajifunze nini kutokana na anguko la "COLONEL GHADAFI"?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chatumkali, Oct 20, 2011.

 1. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Dunia inashuhudia mwisho wa dola ya GADAFI baada ya miongo takriban minne ya utawala wake.Je ni sahihi kusema kwamba nguvu ya umma imeongea?Je tuamini kwamba ni fitna za mataifa ya magharibi?Je,watawala wetu wajifunze nini kutokana na anguko hilo la kihistoria?
   
 2. M

  Mafuchila JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2011
  Joined: Apr 29, 2006
  Messages: 752
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Hakuna kinachoitwa dola ya Ghadafi, ni serikali ya Libya iliyoondoshwa kwa nguvu za NATO, Afrika haina cha kujifunza zaidi ya kutengeneza serikali ya watu, na kujiandaa na vita ikibidi wekeza kwenye atomic kwani walimwengu hawaaminiki.
   
Loading...