Polisi wazuia mkutano wa CHADEMA Dodoma mjini....

only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,525
Katika kile kinachoonekana kama kukosa akili kwa jeshi la polisi leo limezuhia mkutano wa CHADEMA ukiwa maandalizi yake yamefikia asilimia 99..Tangu asubuhi gari letu limepita kutangaza mkutano huu makini chakushangaza polisi wamekuja kutoa taarifa ya kusimamisha mkutano huu dakika za mwisho,habari za awali zinaonyesha hakuna sababu za msingi za kuzuia mkutano huu.Dalili za polisi kuingilia mkutano huu zilianza kuonekana mapema pale walipokusanyika kwenye vichochoro vya mji wa Dodoma karibu na uwanja wa barafu wakiwa na mavazi yao kama wamekuja kutuliza ghasia...mpaka natoa taarifa hii gari la CHADEMA lilikuwa polisi na bado taarifa za kina hazijatolewa...

Maoni ya wananchi:

  • Baada ya kupata taarifa za kuhairishwa mkutano huu,watu walikaa vi-group vidogo vidogo wakionekana na hasira na wakataka kuwaomba viongozi wahutubie na wao watatoa ulinzi,na kijana mmoja akasema huo utakuwa ulinzi shirikishi..
  • Wengine wakaomba tuanze maandamano mpaka ofisi ya kamanda wa polisi wa mkoa hili kumpa kilio chetu cha kuharishiwa mkutano dakika za mwisho....
Kwa hili ni dalili mbaya kwa polisi na wana-CHADEMA mkoa wa Dodoma tutachukua hatua stahiki kuzuia ubakaji huu wa demokrasia ulio wazi wazi bila hata aibu....
 
Dodoma RPC is a longtime associate of JK and his transfer to Dodoma was purposely made in order to safeguard the interests of Magamba and extend their domination in central zone.
Hey! What is going on to this guy? Very interesting unh!
 
Chadema wanahamasisha vurugu. Bora polisi mmewazuia.
 
Nimependa ulivyoanza kusema kuwa POLISI WAMEDHIHIRISHA WASIVYOKUWA NA AKILI, naomba na mimi niongeze maneno haya hapa mbeleni...KAMA BAADHI YA WACHANGIAJI AKINA FULANI HUMU NDANI...
 
Katika kile kinachoonekana kama kukosa akili kwa jeshi la polisi leo limezuhia mkutano wa CHADEMA ukiwa maandalizi yake yamefikia asilimia 99..Tangu asubuhi gari letu limepita kutangaza mkutano huu makini chakushangaza polisi wamekuja kutoa taarifa ya kusimamisha mkutano huu dakika za mwisho,habari za awali zinaonyesha hakuna sababu za msingi za kuzuia mkutano huu.Dalili za polisi kuingilia mkutano huu zilianza kuonekana mapema pale walipokusanyika kwenye vichochoro vya mji wa Dodoma karibu na uwanja wa barafu wakiwa na mavazi yao kama wamekuja kutuliza ghasia...mpaka natoa taarifa hii gari la CHADEMA lilikuwa polisi na bado taarifa za kina hazijatolewa...

Maoni ya wananchi:

  • Baada ya kupata taarifa za kuhairishwa mkutano huu,watu walikaa vi-group vidogo vidogo wakionekana na hasira na wakataka kuwaomba viongozi wahutubie na wao watatoa ulinzi,na kijana mmoja akasema huo utakuwa ulinzi shirikishi..
  • Wengine wakaomba tuanze maandamano mpaka ofisi ya kamanda wa polisi wa mkoa hili kumpa kilio chetu cha kuharishiwa mkutano dakika za mwisho....
Kwa hili ni dalili mbaya kwa polisi na wana-CHADEMA mkoa wa Dodoma tutachukua hatua stahiki kuzuia ubakaji huu wa demokrasia ulio wazi wazi bila hata aibu....
Waacheni wabane tu, mapaja yakianza kuwauma wataachia wenyewe
 
Poleni sana CDM Dodoma. Polisi wetu hapa nchini wanajiona wapo juu ya sheria badala ya kusimamia sheria.
 
Hivi hakuna njia nyingine ya kudai haki mpaka Muandamane kwa kila jamboo? Cjaona chama chenye ulimbukeni katika dunia hii kama chadema maana kila kukicha ni maandamano tuu. Kumbukeni ipo cku nanyi mtakuwa madarakani hvy hii tabia mnayoipanda kwa wananchi itakuja iwaathiri na vijana ni maridadi kwa kukariri wajengeeni2 hayo mazingira ya kuandamana kwa kila jambo hata kama mambo mengine yananjia zingine za kudai, . huu ni wakati wa kujenga nchi tumeshachagua serikari na wawakilishi ambao ni wabunge wa ku2semea mpo kazi yenu ni nini? Maana mahakama zipo, police wapo pia , mbona mnataka kuhodhi mamlaka ya serikari na vyombo vyake? Acheni upuuzi msicheze na amani ye2 jamani wengine tumechuma kwa jasho na bidii zetu mnataka vurugu itokee tuwe maskini? Msitupelekepeleke2....
 
Kapime akili.....
 
mkuu tanzania hatuna polisi wewe,
hayo ni maroboti yaliyokuwa programmed
na software za sisyem.
 
Hali ya usalama wa raia na mali zao unazidi kudorora nchi hii, lakini police badala ya kulifanyia kazi hili tatizo wanahangaika na mikutano ya wanasiasa. Sitaki kusikia hoja kwamba walikuwa wanasimamia sheria maana wangekuwa kweli wanasimamia sheria leo hii ndege za kivita toka nchi nyingine zisingetua kwenye viwanja vyetu zikachukuwa wanyama hai na kutokomea makwao. Inaudhi!
 
Back
Top Bottom