Amatus Liyumba kujiunga na TLP au NCCR Mageuzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Amatus Liyumba kujiunga na TLP au NCCR Mageuzi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KIRING'OTI, Oct 20, 2011.

 1. KIRING'OTI

  KIRING'OTI Member

  #1
  Oct 20, 2011
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa mujibu wa Taarifa nilizopata asubuhi hii za uhakika zinasema kuwa Aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala wa BOT Amatusi Liyumba anampango wa kuingia kwenye siasa.

  Kwa mujibu wa Source ambaye ni rafiki wa Karibu wa Liyumba anasema kuwa Bwana mkubwa huyu ambaye ametokea jela siku za hivi karibuni alikuwa anataka kujiunga na CDM lakini amehofia kuwa huko anaweza kupata kesi nyingine kwani serikali sasa inapambana na Chadema badala ya Maadui watatu walioainishwa na Mwalimu enzi zilee! (Ujinga, Maradhi na Umaskini).

  "Kule NCCR au TLP ninaweza kusaidia kuvipromoti vyama vile viwe maarufu kama CDM kwani kutokana na kesi ile ya matumizi mabaya ya Ofisi nina nyenzo(mabomu) kibao. Inabidi sasa mabomu yalipukie kule. Hivi nyie hamuoni siku hizi mabomu yanalipuliwa hata na watu CCM?"Kilimnukuu chanzo hicho wakati wakipata kilaji pale Hyton Motel Sinza Makaburini Naomba kuwasilisha
   
 2. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Leta chanzo hapa kichambuliwe.
   
 3. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,259
  Trophy Points: 280
  anataka kuvamia bahari,kuna papa na nyangumi! aanze kwa kugombea u-monitor wa mtaa kwanza. labda ajitolee kuwa admin manager a chadema
   
 4. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,903
  Likes Received: 5,365
  Trophy Points: 280
  huyu alikuwa anakanyaga demu anamwachia vitara nyekundu,..nasikia alitafuna hadi mwanae
  sidhani huyu fisadi anaweza kupokelewa CDM..hakijichanganya kuingia kwenye siasa za upinzani ccm watamkatia rufaa arudi jela miaka 20
   
 5. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #5
  Oct 20, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Upupu leta sosi
   
 6. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #6
  Oct 20, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  mtoa mada ni shigongo nn?? hadithi za kufikirika zimepitwa na wakati...mtu mwenyewe wala haelekei kua katika politics...umetunga tunga huko unatuletea mapoko poko
   
 7. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #7
  Oct 20, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Habari za kusadikika hatuzitaki hapa jf.
   
 8. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #8
  Oct 20, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kwani leo ni Aprili 1?
   
 9. Felixonfellix

  Felixonfellix JF-Expert Member

  #9
  Oct 20, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 1,680
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  mhhhhhhhhh watanzania bwana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 10. S

  SEAL Team 6 JF-Expert Member

  #10
  Oct 20, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tunamwomba Mungu amulaze PEPONI
   
 11. m

  mwacheni77 JF-Expert Member

  #11
  Oct 20, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 764
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Endelea kupata kilaji chako ni mara chache sana tunatakiwa kuwaamini walevi
   
 12. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #12
  Oct 20, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  I suggest CUF
   
 13. N

  NALO LITAPITA JF-Expert Member

  #13
  Oct 20, 2011
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 294
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Liyumba siyo kiuwa kaona kuhamia cdm atapata kesi nyingine ila ni kuwa kimsingi huyu hawezi kupokelewa cdm
   
 14. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #14
  Oct 20, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  unafikiria kwa kutumia masaburi.
   
 15. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #15
  Oct 20, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  hizi habari mlipeana mkiwa wapi BAR, GEUST HOUSE au BARABARANI na mlianzaje maongezi yenu
   
 16. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #16
  Oct 20, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,648
  Likes Received: 4,753
  Trophy Points: 280
  Kwani huko kuna wabunge wa viti maalumu?
   
 17. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #17
  Oct 20, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kweli pombe ni noma.
   
 18. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #18
  Oct 20, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Haya NCCR na TLP kaeni mkao wa kupokea magari mekundu
   
 19. M

  Musharaf Senior Member

  #19
  Oct 20, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 162
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Malaria haikubaliki!!
   
 20. l

  lyon Member

  #20
  Oct 20, 2011
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bwana Liyumba karibu kwenye chama chetu cha TLP utuletee mipasa uliyo iba BOT tuimarishe chama chetu
   
Loading...