Vita ya tatu ya dunia ni muhimu sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vita ya tatu ya dunia ni muhimu sana

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by rosemarie, Oct 20, 2011.

 1. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Vitendo tunavyofanyiwa sisi waafrica vinanifanya nimwombe mwenyenzi mungu kwa nguvu kuharakisha vita ya tatu ya dunia
  bila vita ya dunia nzima ulimwengu hauwezi kubadilika tena,kama wazungu wanaweza kuja na kumtoa mmoja wa viongozi wa kiafrica na sisi miafrica tukiwa tunatoa macho bila kuchukua hatua inaonyesha jinsi tusivyotumia akili kufikiri,
  ninajua vita itaondoka na 50% ya waishio ulimwenguni
  lakini ni muhimu ili kurudisha heshima ya ulimwengu!!
   
 2. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Hiyo vita italeta heshima kwa binadam waishio duniani
   
 3. R

  RMA JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2011
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 409
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unadhani hiyo vita italeta heshima kwa mwafrika? Vita ya kwanza na ya pili ya dunia ilileta heshima gani kwa mwafrika?
   
 4. T

  Topical JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Natabiri itatokea si chini ya miaka 30 ijayo..

  Itakuwa wakati merakani uchumi wake utakapoanguka na kuporoka kabisa kabisa...

  Ili World power i shift lazima kutokea vita... WWII ilikuwa kuhamisha power kwenda NY kutoka London

  Safari hii itatoka NY kwenda Jeruslem hatimaye end of world kwasababu wayahudi has no mercy with nobody

  Kutatokea mapambano ya kifikra kati ya uslam vs.ukafir
   
 5. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #5
  Oct 20, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ikitokea vita hiyo, basi Afrika tutakuwa masikini zaidi ya hapa tulipo na itachukua muda sana kuamuka kiuchumi. Ni bora tuendelee kustruggle hivi bila vita kuu ya tatu ya dunia.
   
Loading...