Makatibu wakuu hawa wa "vyama tawala" hatukuwaona Igunga, kulikoni?

Bundewe

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
400
141
Najua siasa za Igunga zimekwisha na wachakachuaji wameendeleza historia yao kwa kujiundia vituo bandia na kujipatia kura za chee. Lakini nimejiuliza ni kwa nini makatibu wakuu hawa wa vyama vinavyotawala kwa ubia katika nchi yetu hawajaonekana igunga ikiwa wao ndo watendaji wakuu. Mhe. Wilison Mkama hajaonekana kama ilivyo kwa counterpart wake wa CUF Seif Sharrif Hamad. Hivi nae Mkama alizuiliwa na RA? Na kilichomzuia Seif ni nini kwa upande wake? Mwenye taarifa naomba atujuze tafadhali.
 
Uchaguzi wa Igunga umeisha. Yalyotokea yametokea. Fanya kazi.
 
wewe ulikuwa wapi mbona walikuwepo? kwana makomandoo wa CDM toka Libya. Pakistan nk Mukama alitamukia wapi? inaonekana wewe ni mvivu wa kukumbuka au hujui kukumbuka
 
Najua siasa za Igunga zimekwisha na wachakachuaji wameendeleza historia yao kwa kujiundia vituo bandia na kujipatia kura za chee. Lakini nimejiuliza ni kwa nini makatibu wakuu hawa wa vyama vinavyotawala kwa ubia katika nchi yetu hawajaonekana igunga ikiwa wao ndo watendaji wakuu. Mhe. Wilison Mkama hajaonekana kama ilivyo kwa counterpart wake wa CUF Seif Sharrif Hamad. Hivi nae Mkama alizuiliwa na RA? Na kilichomzuia Seif ni nini kwa upande wake? Mwenye taarifa naomba atujuze tafadhali.
Hebu leteni threads zenye mashiko na si hizi pumba. Inatusaidia nini? Jitu zima ovyo.
 
Kwani ni lazima uandike? Acha porojo kama huna cja maana basi peruse thread zenye kuamsha akili. Buure kabisa!!!
 
Back
Top Bottom