Umaskini kwa Watanzania unaongezeka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umaskini kwa Watanzania unaongezeka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by share, Oct 20, 2011.

 1. share

  share JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2011
  Joined: Nov 22, 2008
  Messages: 2,293
  Likes Received: 2,277
  Trophy Points: 280
  Wakati Tanganyika, samahani Tanzania yenye umri wa miaka 47 ikiwa katika harakati za kusheherekea miaka 50 ya Uhuru, tafiti zinaonyesha kuwa umaskini wa Mtanzania mmoja mmoja unaendelea kukua. Hayo yamo katika ripoti ya Benki ya Dunia ambazo nukuu zake zipo kwenye Daily News la leo Oktoba 20,2011. Kwa kifupi soma hapa chini:

  WB: Poverty Among Tanzanians On Increase

  By ABDULWAKIL SAIBOKO, Tanzania Daily News

  The World Bank has called for introduction of cash transfer to people as poverty is on rise among individuals in Tanzania despite general economic growth.

  The WB’s report issued on Tuesday with a title; ‘Tanzania: Poverty, growth and public transfers’ noted that poverty in the country was widely spread.


  Hivyo sasa tunasheherekea miaka (50 !!!) 47 ya umaskini au uhuru tuliotarajia upambane na adui UMASKINI (Ujinga na Maradhi)?
   
Loading...