Tusiishie Kusema hapana kwenye Ushoga,tuseme hapana hata kwenye raslimali zetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tusiishie Kusema hapana kwenye Ushoga,tuseme hapana hata kwenye raslimali zetu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mlengo wa Kati, Nov 6, 2011.

 1. Mlengo wa Kati

  Mlengo wa Kati JF-Expert Member

  #1
  Nov 6, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 2,733
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Katika jambo ambalo Serikali ya Tanzania imepaza sauti na Kuungana na Nchi nyingine kama Ghana,Malawi na Uganda ni Kusema hapana kwenye suala la Ushoga dhidi ya David Cameron Waziri Mkuu wa Uingereza! Kumbe Nchi za Kiafrika zina uwezo wa kusema hapana! Basi tuseme hapana imetosha kupora raslimali zetu barani Afrika! Tanzania iseme hapana kwenye uporaji wa Madini unaofanywa na Nchi za Magharibi!
   
 2. L

  LAT JF-Expert Member

  #2
  Nov 6, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  uporaji wa kura je ?
   
 3. M

  Mzee wa Posho Senior Member

  #3
  Nov 6, 2011
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bado umelewa hadi mda huu?
   
 4. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #4
  Nov 6, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,764
  Likes Received: 6,084
  Trophy Points: 280
  Mkuu nakupa tano. Jana nilisema kwenye thread kadhaa kwamba UFISADI ni sawa na USHOGA wengine wakaishia kunitukana lakini huo ndio ukweli. Tusipokuwa makini tutatekwa fikra na wanasiasa kwa hoja ya ushoga na hivyo kusahau ufisadi!

  Nakubaliana na wewe kwamba kama serikali "ilivyolipuka" kuhusiana na suala la USHOGA vivyo hivyo ipige kelele juu ya UFISADI. UFISADI na USHOGA ni mapacha na FISADI na SHOGA ni walewale; hakuna aliye bora kumzidi mwingine.
   
 5. G

  Godwine JF-Expert Member

  #5
  Nov 6, 2011
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  naunga mkono 100% kwa 100%
   
 6. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #6
  Nov 6, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  nadhani watanzania wanajua zuri na BAYA!watanzania ushoga c utamadun wetu,ila mashoga hapa tanzania wapo,mitaan tunapishana nao,je kwa sasa serikal imewezaje kuwadhbiti?
   
 7. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #7
  Nov 6, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Hapa inabidi tufanye kwa vitendo kuukataa ushoga kwa kuanza na hawa mashoga waliopo hapa nchini.
   
 8. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #8
  Nov 6, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  wewe ndo utakuwa umelewa 7bu bila kukemea uporajiwa wa kura democrasia ya kweli haitakuwepo na ukandamizaji wa viongozi wetu kujiona wao ni wao hautaisha
   
 9. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #9
  Nov 6, 2011
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,980
  Likes Received: 20,372
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo na hili unataka cdm watoe tamko! unashangaza sana, waambie viongozi wako wanaoongoza kwa kuuza rasilimali zetu mchana na usiku huku wakipewa zawadi za suti na neti, safari nyiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiingi kumbe kwenda kuuza utu binafsi na wa nchi
   
 10. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #10
  Nov 6, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  kweli kabisa mkuu ila kulingana na jaji warioba alivyosema na mimi naona ni kweli kabisa kwamba hakuna kiongozi wa serikali aliyejitoa kukemea na kuupinga ufisadi
   
 11. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #11
  Nov 6, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kweli kabisa kama wamesema hawakubaliani na ushoga basi watuambie njia watazotumia kukabiliana na hili tatizo la ushoga
   
 12. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #12
  Nov 6, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Serikali yetu si wapayukaji tu vitendo hakuna
   
 13. Somji Juma

  Somji Juma Verified User

  #13
  Nov 6, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,502
  Likes Received: 2,040
  Trophy Points: 280
  Hivi wanatupora au tunawapa sisi wenyewe kwa hiyari yetu.?
   
 14. SILENT ACtOR

  SILENT ACtOR JF-Expert Member

  #14
  Nov 6, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Umenena sawa, make bila kulinda rasrimali zetu, tutabaki kuwa Matonya (ombaomba) wanaosubiri msaada. Na hawa huwa ni vigumu kukataa lolote ssemalo Bwana Mkubwa.
   
Loading...