Huyu mwana siasa yuko wapi siku hizi?

Huyu mwana siasa yuko wapi siku hizi?

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,083
Reaction score
2,367
Namuulzia katibu mkuu mstaafu wa ccm{yusufu makamba}yuko pande gani na anajishughulisha na nin?
 
Nakumbuka alisema amekitumikia sana chama chake so anaomba aachwe apumzike!
 
huo sasa uchokozi jamani, kaacheni hako kazee kapumzike, si mnajua akili yake ilivyo? atawashusha mishipa ktk ujana wenu huu shauri yenu
 
Unafahamu maana ya kustaafu kweli wewe!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom