Kweli JK Msanii!

New2JF

Senior Member
Oct 25, 2011
123
27
Rais Kikwete amjulia hali Msaanii ''mwenzake'' Vengu wa Zekomedy.

jk 1.jpg jk 2.jpg

Hivi kweli siku zooooote alizokaa ikulu hadi asikie msanii mwenzake anaumwa ndio aende hospitalini!!!! Kuna wagonjwa wangapi muhimbili, mwananyamala etc?

Is this real news?
 
jamani JK akitembelea wagonjwa anaitwa msanii! Ametembelea wagonjwa na jana ametoa zawadi ya mbuzi na mchele kwa wagonjwa
 
jamani JK akitembelea wagonjwa anaitwa msanii! Ametembelea wagonjwa na jana ametoa zawadi ya mbuzi na mchele kwa wagonjwa

The man knows he is center of negative news, he is entitled to check the list of patients before he makes his tour of being a Samaritan, he would have avoided that, simple and sure.
 
Unataka afanye kipi umpongeze. Kwani hapaswi kwenda kutembelea wagonjwa .
 
Fang..... ndio maana nimeuliza maana nimeiona iko katika moja ya habari za kazi za Rais!!! I meant hakuna kitu cha kutangaza kuhusu kazi zake hasa zenye maslai na Taifa zaidi ya hiyo???????

Bijou...mbona hiyo humanity iko very biased? Hadi msanii mwenzake aumwe ndio aende kutembelea wagonjwa (na kwa taarifa yako...alienda kwake tu na siyo kwa wagonjwa wengine) kumbuka Mkuu Bijou...gharama alizotumia kuteketeza kwa kwenda kumuona Vengu....haiingii akilini...eti msafara unatoka ikulu...magari mengine barabarani yanasimamishwa kisa bosi anapita kwenda kumtembelea Vengu?

Muhimbili kazi zinasimama hadi Rais amalize ''ziara'' yake? Ningejua kuwa ni utu kama angekuwa na hako kautaratibu ka kuwaona wagonjwa kama afanyavyo ile ya kila mwezi kuzungumza na wananchi kupitia vyombo vya habari!!!! Kweli unadiriki kusema Humanity?

Ungekuepo wakati anaenda hapo hospitalini ungechoka mwenyewe!!! Natamani nawe ungekuwa na mgonjwa wako hapo ili uone kituko kilichotokea!!! Pole sana Mkuu Bijou.

Mkuu Kimbunga tafakari sana nilichoandika hapa juu then utoe comments zako
 
Fang..... ndio maana nimeuliza maana nimeiona iko katika moja ya habari za kazi za Rais!!! I meant hakuna kitu cha kutangaza kuhusu kazi zake hasa zenye maslai na Taifa zaidi ya hiyo???????

Bijou...mbona hiyo humanity iko very biased???? hadi msanii mwenzake aumwe ndio aende kutembelea wagonjwa (na kwa taarifa yako...alienda kwake tu na siyo kwa wagonjwa wengine) kumbuka Mkuu Bijou...gharama alizotumia kuteketeza kwa kwenda kumuona Vengu....haiingii akilini...eti msafara unatoka ikulu...magari mengine barabarani yanasimamishwa kisa bosi anapita kwenda kumtembelea Vengu????? Muhimbili kazi zinasimama hadi Rais amalize ''ziara'' yake??? Ningejua kuwa ni utu kama angekuwa na hako kautaratibu ka kuwaona wagonjwa kama afanyavyo ile ya kila mwezi kuzungumza na wananchi kupitia vyombo vya habari!!!! Kweli unadiriki kusema Humanity????? Ungekuepo wakati anaenda hapo hospitalini ungechoka mwenyewe!!! Natamani nawe ungekuwa na mgonjwa wako hapo ili uone kituko kilichotokea!!! Pole sana Mkuu Bijou.

Mkuu Kimbunga tafakari sana nilichoandika hapa juu then utoe comments zako

mkuu hebu tuhabarishe hicho kituko kilichotokea jamaa alipoenda kumuona vengu!
 
Wakuu dogo anaumwa serious, wala hakuna haja ya kumjadili ****** kwa kumtembelea, inafaa tujiulize namna atakavyo msaidia ukizingatia walizunguka naye nchi nzima kwenye kampeni zao magamba na wao walichangia 'kumuweka madarakani'. They need to reward him for the job they did for the magamba! And the best they can do for him is to find the best treatment of his disease the soonest.
 
Jamani kwani vengu anasumbuliwa na nini
 
Siyo msanii. Ukweli ni kuwa moja ya mambo yaliyomfanya Mheshimiwa ashinde kwa kishindo (80%) mwaka 1995 ni tabia ya kuwatembelea wagonjwa na kushiriki kwenye misiba ya watu mbalimbali bila kujali vyeo au nafasi zao. Na kama umemfuatilia amekuwa akitumia hii "strength" yake vizuri sana kujenga picha kuwa yeye ni mtu wa watu wa kawaida. Na ninaamini kuwa amefanikiwa sana katika hili.
 
jamani JK akitembelea wagonjwa anaitwa msanii! Ametembelea wagonjwa na jana ametoa zawadi ya mbuzi na mchele kwa wagonjwa

Kwani wewe kuwatembelea wagonjwa inasaidia nini wakati hakuna madawa vijijini ,hio pesa ya diesel kwenye msafara wake magari 30 si ingenunua dawa,halafu hii ya kutoa mbuzi kwenye sikuukuu tu kwanini asiwasaidie kuanzisha miradi ya kuwasaidia siku zote? watz wengi wanamatatizo ya mitaji ,kwani ccm wameuza mashirika na viwanda vyetu vyote kwa wahindi
 
Siyo msanii. Ukweli ni kuwa moja ya mambo yaliyomfanya Mheshimiwa ashinde kwa kishindo (80%) mwaka 1995 ni tabia ya kuwatembelea wagonjwa na kushiriki kwenye misiba ya watu mbalimbali bila kujali vyeo au nafasi zao. Na kama umemfuatilia amekuwa akitumia hii "strength" yake vizuri sana kujenga picha kuwa yeye ni mtu wa watu wa kawaida. Na ninaamini kuwa amefanikiwa sana katika hili.
Hiyo 1995 alishinda wapi na nini 80% hebu fafanua
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom