Gration Mukoba au Wilfred Lwakatare?

KAUDO

Senior Member
Aug 10, 2011
138
67
Katika mtaa mmoja mjini Bukoba nimekuta mabishano ya nani anaweza kuhimili vishindo vya uchaguzi ujao(Ubunge Bukoba Mjini) kati ya hao wawili.Hawakupata mwafaka,kimsingi wamekubaliana kuwa wote ni wapambanaji walio tayari kuitafuta haki kwa gharama yoyote.
 
Mukoba ni yupi huyo mkuu? Au ndo yule katibu wa walimu aliyepigwa ngwara kipindi fulani?

kama ni yule jamaa hamna kitu. aliwakusanya walimu miaka ile halafu akaishiwa kununuliwa mpaka akasababisha waalimu (hasa kina mama) kuangua vilio hadharani kama watoto wadogo.

hafai yule mchumia tumbo tu kama yule jamaa anayejiita mwenyekiti wa jukwaa la katiba.
 
Siasa bwana, Rwakatare aliwahi kumchapa mtu makonde kwa hasira. Alikuwa msimamizi wa uchaguzi baada kutangaza jina la mgombea wa CCM. Ile niliipenda!
 
Kiukweli pale ni sehemu ya harakati mwanzo mwisho na 2015 lazima CDM wang'are
 
kama ni yule jamaa hamna kitu. aliwakusanya walimu miaka ile halafu akaishiwa kununuliwa mpaka akasababisha waalimu (hasa kina mama) kuangua vilio hadharani kama watoto wadogo.

hafai yule mchumia tumbo tu kama yule jamaa anayejiita mwenyekiti wa jukwaa la katiba.
Mkuu una maana kibamba naye kishanunuliwa?
 
LWAKATARE MUGANYIZI ENTALE YA BUKOBA.bado tunamwamini na kumhitaji bukoba huyo gration muondoweni kabisa katika list ya kumchallenge lwakatare kwan alichowafanyia walimu baada ya kupozwa na wakubwa kunadhihirisha kua upambanaji wake kwa maslahi ya wengi (0).
 
kuna vitu vidogo vinamwangusha Lwakatare lakini bado anapendwa sana bukoba hasa na vijana.
 
LWAKATARE MUGANYIZI ENTALE YA BUKOBA.bado tunamwamini na kumhitaji bukoba huyo gration muondoweni kabisa katika list ya kumchallenge lwakatare kwan alichowafanyia walimu baada ya kupozwa na wakubwa kunadhihirisha kua upambanaji wake kwa maslahi ya wengi (0).

RWAKATALE ENKANGABUYE..ENGAJU..huyu bwana amewahi kututeka watu wa bukoba hadi baba mkubwa Benjamini mkapa akatuletea fujo.kwakweli sish watu wa kashai hasahasa matopeni hatujawi kumwangusha kabisa.
 
hivi mkuu lile sanamu la mayunga bado lipo hapo bukoba?wamerikarabati?wale nyuki wa kwenye lile sanamu ni noma.walitushambulia siku ya kampeni ya rwakatare.tulitoka kumfanyia kampeni katoma tulipofika buyekela polisi wakatuzuia kuingia mjini pale stand kwa maandamano sisi tukaforce kipindi hicho tukiwa cuf.walitutawanya kwa mabomu ya machozi tukakimbilia pale mayunga tukakuta nyuki wamechachamaa.ilikuwa ni noumer stasahau.mia
 
Mkoba hafai, kama sio kuzibwa mdomo- kwa mshiko- mwaka jana kabla ya uchaguzi, magamba wasingeshinda. Mkoba ni ndumilakuwili, hatawafaa wana Bukoba, labda wamtaje tena mwingine, waachane na huyo mnafiki
 
Ningependa kujua ni mtaa gani.mhe lwakatale wana bukoba wanataka kujua pesa za abana bashome umeziweka wapi
 
Back
Top Bottom