Kuna tofauti kuu kati ya uongozi(Leadership) na utawala(administrator). Sifa kuu ya kiongozi ni uwezo wa kushawishi watu anaowaongozi kutenda jambo ambalo yeye kama kiongozi anaone lina manufaa...
Julius K. Nyerere: No Regrets At Socialism
First Published: October 24, 1990
Julius K. Nyerere, who led Tanzania for the first-quarter century of its existence as an independent state, struck...
Saturday, 12th November 2011
Uganda and Burundi support Kenya against Al Shabaab
Updated 12 hr(s) 32 min(s) ago
Related Stories
Ugandan jailed for 30 years for murder of gay activist...
Friday, 11 November 2011 21:20
Kizitto Noya,Dodoma
WABUNGE wamehadharisha kwamba Muswada wa Sheria ya Ununuzi wa Umma wa mwaka 2011, utamwingiza Mkenge Rais, endapo kipengele hicho...
Ukisoma kitabu cha Mandela kinachoitwa "Long Walk to freedom" anasema 'the darkest hour of the night is dawn'. Anaelezea harakati zake za kutafuta ukombozi. katika vipindi vigumu kupita vyote...
baadhi ya wastaafu wa kada ya ulinzi,polisi na mahakama wameonekana katika ofisi za hazina ndogo kanda ya mashariki wakifuatilia pensheni zao bila mafanikio.wameonekana kuwa na hasira na...
Mwaka 2010 tulishuhudia matukio mengi yakijiri ndani ya taifa letu, ni matukio yaliyonasibishwa na siasa na kukua kwa demokrasia.,kulingana na muundo na mitindo ya utokeaji wake wengi tuliamini...
Naomba kufahamu,zipo tawala mbalimbali duniani,asilimia kubwa ya viongozi wa nchi huambatana na sera za vyama walivyopatia madaraka.Mpinzani nae hutengeneza sera zake.Hakuna anaetoka nje,wote tumo...
Sat, Nov 12th, 2011
Sat, Nov 12th, 2011| Tanzania
About ten people, believed to be councillors of Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) stormed out of the hall in which the Arusha...
Wed, Nov 9th, 2011
Wed, Nov 9th, 2011| Tanzania
Mahadhi Juma Maalim
Tanzania has maintained its stance that it will not recognise the new Libyan rulers led by the National Transition...
Tukio la hivi karibuni la serikali ya ccm kupeleka muswada wa kununua mitumba inadhihirisha kwamba chama kimeshuka bei.kimekosa msimamo kama zamani. Chama kinayumba na hiyo ni hatari kwa sababu...
Katika hali ambayo unaweza kuitafasili kuwa joto la kisiasa la mjini Arusha dr dr dr kikwete ameingia miti licha yamatangazo ya takiribani wiki 2. Na leo asubuhi tulishuhudia magari ya matangazo...
na Happiness Mnale
KANISA Katoliki nchini limewataka viongozi wa serikali kutambua kuwa amani na usalama haviwezi kulindwa wala kudumishwa kwa kutumia nguvu kubwa za jeshi na matumizi...
Mh Peter Msigwa amewachana kamati nzima ya manunuzi kuleta mswaada Bungeni wenye pendekezo wa ununuzi vifaa chakavu kama Meli,Ndege,Mabehewa,na Matrain!!
Mpaka wabungi wa CCM wamenywea mpaka...
Hali ya wabunge wa CHADEMA akina MBOWE, TUNDU LISSU, LEMA na ZITTO ziko je hadi sasa??? kuna uwezekano wa wao kuwepo Bungeni kwa wiki inayoanza tar 14/11/2011? Ni wiki muhimu sana kwani mstakabali...
Ni wakati mgumu kwa watawala wetu kwani nchi haina pesa, viongozi wamegawanyika na wananchi wamegawanyika na wengi wamekata tamaa na maisha na kuona umasikini juu ya vichwa vyao, mfumuko wa bei...
Mwenyekiti wetu wa Kamati ya bunge ya Mambo ya nje uko wapi? Mbona kimya toka ulipotoka Nigeria? Huku nyuma wenzio tumetishiwa nyau na Cameron kwamba fedha zake haziliki mpaka tuhalalishe mapenzi...
Hbr wana JF.
Hbr nilizozipata ni kwamba, Mh. Abasi Kandoro aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Mwanza kwa sasa mkuu wa mkoa wa Mbeya, ameamua kuachana na mpango wake wa kujiuzia kwa milioni mbili tu...
Nadhan nchi inahitaji mabadiliko makubwa sana, ukianzia kubadili mfumo mzima wa uongozi(SIYO UTAWALA coz hakuna Mtawala bora huku duniani), Pia kudhibiti nguvu za vyama vya siasa na ikiwezekana...
Kwa mtazamo wa jumla, kwa hali ilivyo hapa kwetu Tanzania tunahitaji wanaharakati wajasiri wenye nia ya dhati ya kuikomboa taifa letu kama huyu mheshimiwa Lema. Huyu mwanaharakati ameonyesha njia...