Mchakato wa Katiba-bungeni Zitto na wenzake watakuwepo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchakato wa Katiba-bungeni Zitto na wenzake watakuwepo?

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by PrN-kazi, Nov 12, 2011.

 1. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #1
  Nov 12, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Hali ya wabunge wa CHADEMA akina MBOWE, TUNDU LISSU, LEMA na ZITTO ziko je hadi sasa??? kuna uwezekano wa wao kuwepo Bungeni kwa wiki inayoanza tar 14/11/2011? Ni wiki muhimu sana kwani mstakabali wa katiba mpya ndo utajulikana. nina wasiwasi endapo wao wakikosa kwani hata wapiga wao watakosa wawakilishi; huu mchakato wa katiba mpya kwa kushirikiana na wana harakati wametoka nao mbali sana.
   
Loading...