Tanzania imepoteza mwelekeo; Hata viongozi wamekata tamaa, machafuko yaja

king11

JF-Expert Member
Jun 7, 2010
327
79
Ni wakati mgumu kwa watawala wetu kwani nchi haina pesa, viongozi wamegawanyika na wananchi wamegawanyika na wengi wamekata tamaa na maisha na kuona umasikini juu ya vichwa vyao, mfumuko wa bei uko juu na ukosefu wa ajira nao uko juu kabisa.

Usalama wa taifa nao wakitoa angalizo wa taasisi nyingine kuwa nchi haiko katika mstari, huku migawanyiko katika vyama vya siasa vikikua kila siku na kutishia machafuko ndani ya hata Chama tawala.


Nini kifanyike kuokoa taifa?
 
Rais ajiuzulu, no way hapa na yeye ndo cause wa yote haya. He is irresponsible leader. Angalia kilichotokea Greece na kinafuata na Italy pia. Tatizo CCM inaamin wapinzan hawawezi kuongoza nchi na hawana haki ktk hii nchi hii ndo shida. Tungeshirikiana bila kufuata itikadi za vyama mbona nidham ingekuwepo. Tatizo ni kulindana na Uccm ndo shida.
 
Back
Top Bottom