Salamu za pongezi kwa mheshimiwa Godbless Lema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Salamu za pongezi kwa mheshimiwa Godbless Lema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Losomich, Nov 11, 2011.

 1. Losomich

  Losomich JF-Expert Member

  #1
  Nov 11, 2011
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 373
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwa mtazamo wa jumla, kwa hali ilivyo hapa kwetu Tanzania tunahitaji wanaharakati wajasiri wenye nia ya dhati ya kuikomboa taifa letu kama huyu mheshimiwa Lema. Huyu mwanaharakati ameonyesha njia. Mheshimiwa ameutuma ujumbe kwa ulimwengu kuwa ukombozi sio lelema. Ni lazima mtu ujikane nafsi yako na kuubeba furushi kubwa usio kadirika ambamo ndani yake umejaa kuonewa, kudhihakiwa, kudhalilishwa, kejeli za kipuuzi, kuzingizwa, kutukanwa, makesi ya kubambikiziwa, kupigwa mabomu ya kutoa machozi, kumwagiwa maji ya tindi kali n,k. Lakini mwisho wa yote kwa mzaada wa nguvu ya umma hilo furushi kubwa la hayo yote litatupwa kwenye shimo kubwa ya hewa ambapo litasahaulika milele. Mwenye haki ataishi kwa imani bali asiye haki ataisha kwa mashaka siku zote. Mheshimiwa lema tuko pamoja mpaka ukamilifu wa dahari!!!
   
 2. Olengambunyi

  Olengambunyi Member

  #2
  Nov 12, 2011
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ya thts ryt.
   
 3. L

  Leonard Akaro JF Gold Member

  #3
  Nov 12, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  matokeo yake hata raisi wangu wa moyo na mwenyekiti wangu walikuwa tayri kwenda jela bila dhamana. You have a point bro
   
 4. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #4
  Nov 12, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,472
  Trophy Points: 280
  du karibu au we wakitambo? Lema ni shujaa wa mwaka.
   
Loading...