CCM imelewa mvinyo wa madaraka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM imelewa mvinyo wa madaraka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ground Zero, Nov 12, 2011.

 1. Ground Zero

  Ground Zero JF-Expert Member

  #1
  Nov 12, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 342
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tukio la hivi karibuni la serikali ya ccm kupeleka muswada wa kununua mitumba inadhihirisha kwamba chama kimeshuka bei.kimekosa msimamo kama zamani. Chama kinayumba na hiyo ni hatari kwa sababu hata wapenzi wake wameanza kukosa imani nacho. CCM inahitaji mapinduzi
   
Loading...