Wastaafu wa polisi, mahakama na wizara ya ulinzi hawajalipwa mafao yao

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,038
2,199
baadhi ya wastaafu wa kada ya ulinzi,polisi na mahakama wameonekana katika ofisi za hazina ndogo kanda ya mashariki wakifuatilia pensheni zao bila mafanikio.wameonekana kuwa na hasira na malalamiko mengi.inasemekana wamekuwa wakifuatilia mafao haya kuanzia mwaka 2004.
source TBC .
 
nyie polisi mnaotwanga raia mabomu na risasi mnaujua mustakabali wa maisha yenu?
 
Hii mifuko ya hifadhi ni ya kinyama sana!Wanawekeza kwenye kujenga mi ghorofa wakati wenye fedha zao wanakula nyasi.Halafu viongozi wetu wapo wanasinzia tu kwenye ile nyumba Dom!
 
Hawa ndo sumu kali inayozuia mabadiliko ya kweli na haki ya kidemokrasia hapa nchini, hakuna sababu ya kuwaonea huruma, ingekuwa bora wasilipwe kabisa na wakizidisha nyodo warushiwe maji ya upupu kama wale wazee wetu wasio na hatia wa EAC. Hivi kweli mtu kama OCD wa arusha wa sasa hivi naye anastahili malipo ya uzeeni? Fu$k ccm, mapolisi na mahakama!
 
Ni kero tupu kutokuthamini umuhimu wa utumishi wa wastaafu wetu nchini. Je, Jaji Mkuu Mtaafaafu Augustino Ramadhani vipi vihoja juu ya malipo marupurupu yake yamefikia wapi?
 
Naomba wasipate kabisa, coz wmekula sana rushwa za kujaza ama kucertify vyeti zimewatosha. Polis wanaua watu wanabambikia kesi. Sitamani hata kuwasikia
 
ndo haohao walijifanya kuiitumikia kwa hai yoyote ile wakidhani ndo utumishi bora. sasa waache waonje joto la jiwe
 
Ni kero tupu kutokuthamini umuhimu wa utumishi wa wastaafu wetu nchini. Je, Jaji Mkuu Mtaafaafu Augustino Ramadhani vipi vihoja juu ya malipo marupurupu yake yamefikia wapi?

utamthamini vipi wakati wa utumishi wake alikuwa mzigo kwa kusimamia uouvu? waache wafe na njaa
 
Waandamane na mimi na uniform zangu za k-security naenda kuwapiga virungu. waapuuzi.
 
Back
Top Bottom