Yanayotokea sasa tanzania mtazamo wangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yanayotokea sasa tanzania mtazamo wangu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by pepekale, Nov 12, 2011.

 1. pepekale

  pepekale Member

  #1
  Nov 12, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 53
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 15
  Nadhan nchi inahitaji mabadiliko makubwa sana, ukianzia kubadili mfumo mzima wa uongozi(SIYO UTAWALA coz hakuna Mtawala bora huku duniani), Pia kudhibiti nguvu za vyama vya siasa na ikiwezekana vingine vifutwe kwa maslah ya nchi, na ikiwezekana viongoz wengi inabidi wafutwe kazi wakapumzike, nchi ina watu wengi wenye damu changa na akili bado zinafanya kazi vizuri, bUt cha kushangaza asilimia kubwa ya watawala ni wastaafu ambao kiutaratibu inajulikana kuwa tayari wameanza kuchoka, tena wengi wao wanajeshi ambao kwao amri ni utaratibu wa maisha pasipo kufikiri nini madhara ya amri zao kwa maedeleo ya taifa, sasa matokeo yake ndo vile, hakuna ubunifu katika kuboresha mambo mbalimbali ya kimaendeleo, watu wamekuwa maaarufu kwa kusinzia kwenye vikao vingi ambavyo vina faida kwa mwananchi maskini, hawa wote wanastahili kupumzika wapishe watu wenye damu changa waokoe jahazi .​
   
Loading...