Chadema, the darkest hour of the night is dawn!

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,543
550
Ukisoma kitabu cha Mandela kinachoitwa "Long Walk to freedom" anasema 'the darkest hour of the night is dawn'. Anaelezea harakati zake za kutafuta ukombozi. katika vipindi vigumu kupita vyote anasema ni wakati ukombozi ulipokaribia. hapo PAC, Inkata Freedom, Makaburu na wengine walikisumbua sana ANC. Sasa chadema wana wakati mgumu sana katika harakati za ukombozi. Napenda kuwapa moyo kuwa hali ngumu mnayoiona inaashiria ukombozi upo karibu. Hii ni alfajiri karibia kunakucha na giza ndipo linakuwa nene zaidi.
 
nakumbika mafunzo ya sekondari enzi hizo elimu ilikuwa elimu ni kwamba ukitamkiwa mithali au msemo kwa mfano wa 'the darkest hour of the night is dawn' ni kwamba utakapoanza kuandika maudhui au maana ya msemo husika lazima uuchukue kama ulivyo, halafu baadaye sasa unarejea katika halihalisi ya kimaisha na tamaduni.

mabomu na risasi vilirindima saa 10/10kasoro pale NMC. that's a typical dawn.

watawala wanajua kama hawatakiwi. wameshindwa kuongoza nchi na hawachelei jambo lolote lililo kinyume na tawala zao.

kwa hali ilivyo, watawala kwa sasa hata wakiambiwa inzi kwa maana ya inzi wanataka kuandamana, utasikia milio ya mabomu kwa ajili ya kutisha na kutawanya.

mimi nawatia moyo sana viongozi wetu. pambaneni. msirudi nyuma.

tupo wengi sana tuoaowaungeni mkono. tupo wengi sana.
 
Ukisoma kitabu cha Mandela kinachoitwa "Long Walk to freedom" anasema 'the darkest hour of the night is dawn'. Anaelezea harakati zake za kutafuta ukombozi. katika vipindi vigumu kupita vyote anasema ni wakati ukombozi ulipokaribia. hapo PAC, Inkata Freedom, Makaburu na wengine walikisumbua sana ANC. Sasa chadema wana wakati mgumu sana katika harakati za ukombozi. Napenda kuwapa moyo kuwa hali ngumu mnayoiona inaashiria ukombozi upo karibu. Hii ni alfajiri karibia kunakucha na giza ndipo linakuwa nene zaidi.

Kaka hili ni SIKIO LA KUFA HALISIKII DAWA.

Huwezi kulinganisha ANC NA kachama cha Kikabila "CHADEMA". NI sawa na kulinganisha maji safi na mkojo.

Hiki chama kinakufa, wewe unahitajiwa ukakinunulie Sanda.
 
Ndoto za mwendawazimu!
 
Iv ww kibaka wa magamba mbn unacomment post zisizokuhusu.Iv nan kakwambia cdm ni chama cha kikabila iv u hv no data n no research u don hv any rght 2 speak.
 
kuna ukweli, ni vema CCM kuanza kuandaa mazingira mazuri ili wawe wapinzani wazuri mbele ya safari
 
Back
Top Bottom