Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hivi hii ni sawa? Nafikiri wote tunajua umuhimu wa jambo kama muswada wa kupata katiba kujadiliwa kwa umakini na wabunge na mwisho kupitishwa. Kwa wote waliosikiliza bunge letu kwa...
0 Reactions
0 Replies
957 Views
Report iliyotelewa jana na Takukuru, imeitaja polisi na mahakama, ardhi na tra kuwa ni vinara wa rushwa nchini. Huku taasisi ya kupambana na rushwa, PCB nayo imetajwa kama moja ya taasisi ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Fri, Nov 18th, 2011 Fri, Nov 18th, 2011| Tanzania Professor Chris Peter Maina The 66th UN General Assembly on Thursday elected Tanzanian Professor Chris Peter Maina of the University of...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
HOFU kubwa imetawala miongoni mwa makada wa CCM kutokana na kuwapo kwa taarifa kwamba huenda wanachama sita maarufu ndani ya chama hicho kikomgwe nchini wakatimuliwa katika vikao vya juu...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
16th November, 2011Measures taken by Tanzania's Finance Minister Mr. Mustafa Mkullo to dissolve the board of directors and dismiss the Director General of Consolidated Holding Corporation-CHC...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Leo hii Bunge limewavua wananchi wa Tanzania rasmi mamlaka ya kuunda katiba na kumkabidhi Rais mamlaka ya kutunga katiba. Yote aliyoyasema JK leo ni sehemu ya yale tunayopinga kutumia katiba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WanaJF,Kwanza naomba kudeclare interest kwamba; mimi ni mwana-CCM anayekaribia kuasi Chama na hii ni kutokana na kile kilichofanywa na Wabunge wa CCM Dodoma leo kwa kupitisha Muswada wa Katiba...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Live toka bungeni kumbe Zito alishauri mkataba wa Richmond uvunjwe na ndo uyo uyo akashauri mitambo iyo iyo inunuliwe. Wenye kumbukumbu fresh ebu tukumbushane Zito alishauri inunuliwe au itaifishwe?
0 Reactions
35 Replies
4K Views
JK leo hii katoa darasa la demokrasia la kutuambia kuwa lazima tukubali mawazo ya watu wengine hata kama hatuyapendi lakini ebu tuangalie record ya mtu anayetoa kauli hizi je does he practise what...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za kutoka ndani ya Tume ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) nilikokua leo, zinasema kwamba tume hiyo imeitaka ITV kujitetea kwanini isichukuliwe hatua za kisheria kwa kuonyesha LIVE mdahalo wa...
0 Reactions
46 Replies
6K Views
Pamj na mengi Jk akiongea na kina babu wa dsm kawaambia tumeendelea kwa ushahd wa kuwepo kwa ghorofa nyingi dsm.kisha wakamshangilia,akafurahi!!!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu wana jamvi nimekuwa katika pita pita zangu nyingi na kushuhudia watu wengi wakilalama kuwa wanataka kauli dhabiti kutoka kwa JK kuhusu mchakato wa katiba mpya na msimamo wake yeye baada ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana CCM na watawala hawafikiri vizuri, mawazo yao ni kutawala milele lakini wanasahau wanaoamua ni wananchi kuwapa ridhaa hiyo. Wanataka katiba itakayowabeba. Siku chama cha upinzani ikishinda...
0 Reactions
1 Replies
973 Views
Akihitimisha majadiliano ya muswaada wa katiba, spika wa Bunge, Anne Makinda amesema kuwa Chadema walipaswa kubaki bungeni kwa kuwa hata wachache huwa wanapewa nafasi ya kusikilizwa maoni yao na...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
At Tanganyika's independence in 1961, the world was divided into two main blocks the Western, led by the USA and the Eastern block, led by the then USSR. Several developing countries tried to...
1 Reactions
8 Replies
11K Views
Nimesoma thread iliyoandikwa kuwa " Filikunjombe afanya makubwa Ludewa " hii imekuja kutokana na Mbuge huyu kijana kutoa gari la kubebea wagonjwa la Tsh mil 90. Naomba tuangalie kwa kina Wabunge...
1 Reactions
106 Replies
10K Views
Na. M. M. Mwanakijiji Siasa ni sanaa na sayansi. Sehemu ya sanaa ni sehemu ya kumanipulate events, situations, and yes even people. Hakuna namna moja ya kufanya siasa. Keshokutwa wabunge wa CDM...
30 Reactions
56 Replies
5K Views
Mh. John Mnyika Mbunge wa jimbo la ubungo, leo jioni ktk kikao cha Bunge amemtaka Waziri wa Nishati na Madini Mh. William Ngeleja ajiuzuru baada ya kushindwa kuwajibika. Moja ya hayo ni kushindwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Swali: Wabunge wametenda haki kwa kuupitisha muswada wa mabadiliko ya katiba leo?92% wamesema hapana7% Ndio1% Hawajui
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Jaman inauma sana kwan tunaoza taratibu na badae 2tapotea kabisa.hv watanzania 2limkosea nn Mungu?angalien jaman suala linalo2husu kwa aslimia zote 2naliangalia 2,wa2 wanaendelea na shughuli zao...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…