Rasimu ya muswada wa katiba ndio katiba yenyewe! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rasimu ya muswada wa katiba ndio katiba yenyewe!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by politiki, Nov 19, 2011.

 1. p

  politiki JF-Expert Member

  #1
  Nov 19, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Leo hii Bunge limewavua wananchi wa Tanzania rasmi mamlaka ya kuunda katiba na kumkabidhi Rais mamlaka ya kutunga katiba.
  Yote aliyoyasema JK leo ni sehemu ya yale tunayopinga kutumia katiba ambayo ni mbaya kutengenezea utaratibu wa mchakato wa katiba mpya.Bunge ilibidi kufanya mabadiliko madogo ya katiba yatakayowapa mamlaka kamili watanzania bila kuingiliwa na mamlaka yeyote kuunda katiba yao lakini badala yake wameamua Rais akae na mwenzake wa zanzibar waandike katiba kwa niaba yetu kwahiyo mjadala wa katiba umekwisha. hutaki njoo tuingie barabara kupinga ufedhuli huu maana wametugeuza sisi kama mazuzu.
   
Loading...