Ni kweli CHADEMA hawakuwatendea haki Watanzania?

Bishop Hiluka

JF-Expert Member
Aug 12, 2011
7,140
14,678
Akihitimisha majadiliano ya muswaada wa katiba, spika wa Bunge, Anne Makinda
amesema kuwa Chadema walipaswa kubaki bungeni kwa kuwa hata wachache
huwa wanapewa nafasi ya kusikilizwa maoni yao na kumalizia kuwa kutoka kwao
bungeni hawakuwatendea haki Watanzania...
 
CCm wana tabia ya kuchukua maamuzi yao peke yao; ni dhahiri kuwa hata katika tume ya Jaji Nyalali maoni yake mazuri yalitelekezwa na leo hii yamekuwa ni sehemu ya historia tu. Hivyo basi dawa yao ni kuhakikisha tunapiga kura ya hapana kwenye huo mswaada. CDM walijua kuwa mawazo yao yatapuuzwa kama ya Nyalali na Jaji Kipenka. Tunasubiri wananchi wenyewe ndo tuungane tuamue la kufanya.
 
Kama ni hivyo kulikuwa na haja gani kuwalaumu Chadema kuwa
hawakuwatendea haki Watanzania?
 
Jamani hii sirikali ya magamba siyo sikivu na haikuanza leo. wakulaumiwa ni wabunge waliozoea kupitisha miswada hovyo hovyo bila kuichambua kwa umakini. Kama magamba wangekua makini kuliongoza bunge na serikali leo hii nchi ingekua na maendeleoa ya kuridhisha. Mwisho siwashangai hawa wabunge wa magamba kupitisha kwani hao ni "BENDERA FUATA UPEPO
"
 
Hata mimi naamini chadema wametunyima mawazo mbadala, jambo ambalo wanalipwa kwakufanya hivyo..bure
 
Una uhakika na unachokinena? mawazo mbadala ambayo wana uhakika yasingefanyiwa kazi?
Naamini mawazo yao watayatoa kwa wananchi kupitia njia nyingine na si lazima iwe chini ya
spika Anne makinda na bunge lake la upande mmoja.
 
Hakika CDM wametusaliti watz.Wao wanaamka mapema asb kusaini karatasi za POSHO harafu ati wanatoka bungeni.Ndg zangu huu ni uhuni.Watu hawa wanakula pesa zetu kijanja tu wakijichora wao ni watakatifu mbeld ya watz.jamani tuweke ushabiki pembeni tutizame haya na tuwakatae CDM kwa nguvu zote.
 
Jua kwanza hiyo haki ya waTanzaia ni nini kabla hujaona umepewa au kunyimwa na Chadema au CCM!! Katika swala la Katiba, haki kutoka Chadema zimeainishwa ktk hoja ya kambi ya upinzani. Huko ndiko haki yako kama muamuzi wa mambo y nchi hi yalipoelezwa. Usichojua ni kwamba wabunge wa upinzani wamesusia majadiliano ya kitu kisichokuwa na haki.

Una haki zaidi ya kuwakilishwa. Una haki ya kufanya maamuzi, sio kufanyiwa maamuzi. Tambua haki hiyo.

Hata mimi naamini chadema wametunyima mawazo mbadala, jambo ambalo wanalipwa kwakufanya hivyo..bure
 
Hakika CDM wametusaliti watz.Wao wanaamka mapema asb kusaini karatasi za POSHO harafu ati wanatoka bungeni.Ndg zangu huu ni uhuni.Watu hawa wanakula pesa zetu kijanja tu wakijichora wao ni watakatifu mbeld ya watz.jamani tuweke ushabiki pembeni tutizame haya na tuwakatae CDM kwa nguvu zote.

Hao wasiowasaliti wamefanya kipi cha maana? Kupitisha muswaada kiushabiki kwa maslahi ya chama
badala ya maslahi ya Watanzania!
 
Una uhakika na unachokinena? mawazo mbadala ambayo wana uhakika yasingefanyiwa kazi?
Naamini mawazo yao watayatoa kwa wananchi kupitia njia nyingine na si lazima iwe chini ya
spika Anne makinda na bunge lake la upande mmoja.

Hilo ndilo tatizo lenu kwa kila wazo la kwenu lazima lifanyiwe kazi?? kwani nyie malaika au???

Hiyo njia nyingine ya nini wakati njia halali umesusa???

CCM nao watawaelewasha wananchi wakishinda itakuwaje?? mtasusa nchi au??
 
By twahil
Hakika CDM wametusaliti watz.Wao wanaamka mapema asb kusaini karatasi za POSHO harafu ati wanatoka bungeni.Ndg zangu huu ni uhuni.Watu hawa wanakula pesa zetu kijanja tu wakijichora wao ni watakatifu mbeld ya watz.jamani tuweke ushabiki pembeni tutizame haya na tuwakatae CDM kwa nguvu zote.

Ni haki yako na mawazo yako, nayaheshimu...

Hao wasiowasaliti wamefanya kipi cha maana? Kupitisha muswaada kiushabiki kwa maslahi ya chama
badala ya maslahi ya Watanzania!

WS, nadhani wakati mwingine tunapaswa
kuheshimu mawazo ya wenzetu hata kama
tunahisi yanakuwa tofauti. Hata hivyo mawazo
yako pia nayaheshimu...
 
Nakubaliana na spika, Cdm hawajawatendea haki wananchi. wameleta kiburi na bado wameshindwa bora wangebaki watoe maoni na kutokukubali kkunga mkono hoja kama wanavyofanya siku zote.
 
Una uhakika na unachokinena? mawazo mbadala ambayo wana uhakika yasingefanyiwa kazi?
Naamini mawazo yao watayatoa kwa wananchi kupitia njia nyingine na si lazima iwe chini ya
spika Anne makinda na bunge lake la upande mmoja.

Kama ni hivyo basi wajiondoe ubunge kuna nini la kufanya? kuuliza maswali? bora kusema kuliko kukaa kimya.
 
CDM na CCM ni kama kikombe kilichosafishwa kwa ndani lakini nje ni kichafu sana. Vyama hivi mbele ya umma wa waTZ vinaonekana kuwa maadui lakini vikiwa pamoja(viongozi). Angalia kwa mfano ni mara ngapi CDM wamesema wataitisha maandamano nchi nzima juu ya mambo mbalimbali kama vile DOWANS lakini pasipo utekelezaji. Handsome wa mama naondoka kama ifuatavyo.
 
Back
Top Bottom