Manyanyaso
Member
- Dec 14, 2009
- 7
- 1
Mh. John Mnyika Mbunge wa jimbo la ubungo, leo jioni ktk kikao cha Bunge amemtaka Waziri wa Nishati na Madini Mh. William Ngeleja ajiuzuru baada ya kushindwa kuwajibika. Moja ya hayo ni kushindwa kusimamia baraza ili kutekeleza makubaliano 26 ya Bunge baada Sakata la Richmond kutokea.
Mh. Mnyika aliongeza kwa kusema "Raisi anaangamoa kwa kuwa ameshindwa kuwawajibisha watu wanaomzunguka. Wanancha hawana imani na watu wanaomzunguka Raisi hivyo kupelekea wananchi kukosa imani na Raisi." Mh. Mnyika akaenda mbali zaidi kwa kusema, "Kama yeye angekuwa Raisi Kikwete basi angelivunja baraza la mawaziri."