TAKUKURU-report ya rushwa, takukuru nayo yatajwa kwa kupokea rushwa

CPA

JF-Expert Member
Mar 1, 2011
809
354
Report iliyotelewa jana na Takukuru, imeitaja polisi na mahakama, ardhi na tra kuwa ni vinara wa rushwa nchini. Huku taasisi ya kupambana na rushwa, PCB nayo imetajwa kama moja ya taasisi ya wapokeaji wa rushwa.
My take: kama taasisi ya kuzuia rushwa, nayo ina pokea rushwa, sasa tumwamini nani? Kwa jinsi hii rushwa itapungua nchini. Kuna umuhimu gan wa kuwa na chombo hiki? Tanzania zaid ya huijuavyo. Kwazi kweli kweli!
 
Tabia nyingine za mtu ni za kuzaliwa nazo/tabia yake haijalishi mtu anafanya kazi gani na wapi. Kama mtu amezaliwa na tamaa ni wazi kwamba hata kama atakuwa anafanya kazi PCCB atakuwa ni mpokeaji tu wa Rushwa. Ni kama vile baadhi ya Polisi nao wanakuwa ni wezi.
 
Back
Top Bottom