Kipima joto ITV leo

Kipima joto ITV leo

Huo ndiyo ukweli, watu hawataki kupigwa machanga ya macho tena.
 
Hii inaonyesha uelewa wa Watanzania uko juu sana kwa sasa.
 
Mbna wanasema itv kufungiwa baada ya kupisha mjadala wa katiba ni kweli au uongo..nahtaji kufahamu hilo
 
Mh! Lakini namna ya uulizwaji maswali katika "kipimajoto" ni very questionable katika nyanja ya tafiti.
Maswali ya "kipimajoto" uwa ni directive sana; uitwa leading questions ambayo kwenye tafiti upingwa sana.
 
Back
Top Bottom