Watanzania wenzangu:tukijidai waoga wa hili tusijejilaumu baada ya 50 years. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania wenzangu:tukijidai waoga wa hili tusijejilaumu baada ya 50 years.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by NIMEKIMBIA CCM, Nov 18, 2011.

 1. N

  NIMEKIMBIA CCM Senior Member

  #1
  Nov 18, 2011
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jaman inauma sana kwan tunaoza taratibu na badae 2tapotea kabisa.hv watanzania 2limkosea nn Mungu?angalien jaman suala linalo2husu kwa aslimia zote 2naliangalia 2,wa2 wanaendelea na shughuli zao kama kawaida kana kwamba hakuna hatar yoyote iliyopo mbele ye2,HIV SI MITANZANIA MBONA 2NAKUWA MIJINGA SANA KWANI HUYO JK NDO NANI,kweli jaman 2naogopa hata hl hak ya kweli 2TAJUTIA CC NA KZAZ CHETU JAMAN 2AMKE WATz.kwa kweli kuna umuhmu wa nguvu ya umma.WATANZANIA NI BORA 2PIGANE ILI 2MTOE MSHENZ PALE IKULU KULIKO KUendelea kuteseka,NIMEAMIN CC WATZ NI WAJINGA.shame on us.hakika watanzanha ni Wajinga mno,NAJUTA KUWA MTANZANIA BORA NNGEKUWA MLIBYA NIKAJUA MOJA,KULIKO KUJIDAI NINA AMANI KUMBE AMANI BANDIA,..(bora kuwa na 500 halal kuliko kuwa na 50000000,bandia)
  kazi kuongea sana 2 na uchawi,kama n wachaw c 2muondoe jk
   
 2. m

  mtolewa Senior Member

  #2
  Nov 18, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 197
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  point of correction! tatizo sio kikwete tatizo ni ccm hata wakati wa mwl msimamo wao kuhusu katiba ni huo huo. tunahitaji mabadiriko by any cost
   
 3. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #3
  Nov 18, 2011
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  With a foresight I believe JKN would have never done what he did on the 1977 constitution. Kwa mazingira ya wakati ule he was right lakini nawalaumu hasa m.a.bw
  ege wanaong'ang'ania madaraka wakati huu wakati hawana uwezo wa kufanya maamuzi yanayoendana na wakati.
   
Loading...