Nimesoma na kusikiliza hotuba ya rais kikwete. Pia nimefuatia maoni ya watu mbalimbali kuhusu hiyo hotuba ya rais kikwete.
Kitu kikubwa nilichogua ni kwamba rais kikwete aliandaa hotuba ile...
Wana JF,
Kumekuwa na watu wanaodhani baadhi ya viongozi CCM ni waadilifu na wapiganaji wa maslahi ya wananchi. Watu wengine wamefikia hatua ya kuwaita wanaowakosoa hao malaika wao wa CCM kuwa ni...
kwa mujibu wa katiba ya jamuhuri ya muungano wa tz kifungu cha 144
144.-(1) Bila ya kuathiri masharti mengine yaliyomo katika ibara hii, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu wa Jamhuri ya Muungano...
Nimekuwa nikijiuliza,
Kwa nini kila mara JK anapokuwa na dukuduku hukimbilia kuongea na wazee wa jiji la Dar es Salaam.
Hivi hawa wazee ndio Habari Maelezo ya JK???
Kuna nini hapa. Mbona sijasikia...
Kikwete alitoa hotuba ndefu sana, hapa ni sehmu ya hotuba hiyo ambayo alinung'unikia kuhusu malalamiko ya katiba.
Mchakato wa Katiba
Ndugu Wananchi;
Kama mtakavyokumbuka tarehe 31 Desemba 2010...
Rais kanena neno na mwenye masikio na asikie. Big up our President. There is only one president and JK our president. Tume ya katiba mpya itaundwa na rais wa nchi ambaye ni Jakaya Kikwete. Na hili...
Waziri mkuu Mizengo Pinda katika hoja yake ya kuliahirisha bunge leo tarehe 19/11/2011 amesema kuchaguliwa kwa dr. Dalali kafumu kuwa mbunge wa igunga ni kithibitisho kuwa CCM bado ni chama cha...
Yaani mtu anagushi kwenye 20,000 anaandika 120,000tshs mambo ya kizamani kweli.
Inaonekana umu wizarani kuna vilaza wa hali ya juu kama mtu anastaili kulipwa posho 20,000tshs alafu wewe umeongeza...
Survey: Police, judiciary, lands, TRA most corrupt By Sylivester Domasa
19th November 2011
PCCB DG says Africa losing up to USD 40bn to the vice
Experts say country`s tax...
Maaskofu wasusia mwaliko wa JK
Saturday, 04 September 2010 21:33
*Ni kushirikiana naye kula futari
MAASKOFU wa makanisa ya Kikristo na wachungaji mkoani Mbeya walioalikwa kula futari...
As massive poverty continues to rock the majority of Tanzanians, the latest data reveal that Tanzania`s wealth in terms of the top five metals out of eleven provable mineral deposits amounting to...
Hivi sasa jambo linalopigiwa kelele ni Katiba mpya. Binafsi ninaona kwamba hili suala ni la kisiasa zaidi na si la msingi kama kupambana na kuondoa umasikini, ujinga, ukosefu wa umeme, maji na...
Wana JF
Tunao maadui wa mswada wa Katiba mpya
kwa miaka 50 inayokuja katika Taifa la Tanzania.
hawa maadui tunatakiwa kuwapinga vikali katika mchakato
wa katiba mpya inayokuja.
Maadui...
Mimi si mtaalamu wa sheria lakini napata wasiwasi kwa kutumia ufahamu wa kawaida. Kuna uhalari gani wa kurejea kwenye vifungu vya katiba ambayo sote tumeiona haifai, kutengeneza katiba...
Former Philippine President Gloria Arroyo has been arrested on charges of election fraud.
Mrs Arroyo was arrested on her hospital bed in the capital Manila, accused of cheating to win a seat in...
Wadau wa Jf hivi kwanini? Mbunge wa monduli na wa urambo mashariki huwa hawajadiri au kuchangia hoja zinazo wahusu wtz moja kwa moja. Suala kama la jairo, wizara ya uchukuzi,wizara ya nishati na...
Hotuba ya Jana imemkuna Deus Kibamba na anasema:
1. Rais ana dhamira ya dhati ya watz kupata KATIBA Mpya
2. Watanzania wote kushiriki katika mchakato wa Kupata KATIBA MPYA
3. Maandamano si njia...
Hakika Ngeleja Mungu kasikia kilio cha Watanzania,mama asiye na break Mrs shelukindo katoa mpya kwa kutoa waraka bungeni unaonyesha kuwa kila idala ndani ya wizara ya Nishati na Madini kutoa...
Kwa jinsi nilivyomsikiliza JK akihutubia akasema anaongelea mambo 2 (Uchumi na upatikanaji wa katiba mpya) Nimeamua kuacha kusikiliza kwani inaudhi sana. Naomba kuwakilisha kwa mwenyekiti wa...
"Wananchi tunaomba mtusikilize na sisi" - George Simbachawene, alipokuwa akichangia muswada wa katiba mpya. Natafakari ina maana wananchi hawawasikilizi?mbona wameshinda na wapo bungeni? Mbona...