Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Malecela ambaye amepata kuwa waziri mkuu, alisema haoni sababu ya wazee kuwa nje ya vikao vya NEC na CC kwani busara zao bado zinahitajika kwa ajili ya ujenzi wa chama chao.Wakati Malecela...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nyongeza posho za wabunge kaa la moto Send to a friend Wednesday, 07 December 2011 21:10 0digg Spika Anne Makinda VIONGOZI WA DINI, WASOMI,WANAHARAKATI,WANANCHI WAJA JUU,KAULI ZA SPIKA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kutokana na Nchi yangu kuwa No 1 afrika kwa kutembeza bakuli la kuomba Misaada,Pls mwenye takwimu atuwekee hapa je Imefikia Tsh ngapi mpaka sasa?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mh lema, mkuu wa mkoa Arusha na Meya wamekutana na kushikana mikono katika harambee ya kuchangia Cathedral la kanisa katoliki Arusha mjini. Hayo yametokea chini ya Baba Askofu Josephat Lebulu na...
3 Reactions
114 Replies
12K Views
sasa hivi kuna kikao cha kuelimisha wananchi juu ya katiba mpya. Ndo kwanza mada ni ya pili inaelezea historia ya kutafuta katiba mpya.
1 Reactions
21 Replies
3K Views
- Saadi Gadhafi, a son of the deposed Libyan leader Moammar Gadhafi, tried to travel secretly to Mexico with false documents, Mexico's interior minister said Wednesday. Four people have been...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimekuwa nikitafakari sana juu ya nchi yangu ya Tanzania.Nchi iliyojaliwa kila aina ya rasimali,nchi yenye amani inayoridhisha ukilinganisha na nchi nyingine lakini ni nchi iliyojariwa viongozi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu kwa mtazamo wako,miaka 50 ya uhuru Tanzania imepiga hatua au kutimiza malengo yake?Mimi naona imetimiza malengo na ndio maana viongozi wanakula nchi kwa sasa,ina maana kazi imekamilika kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sitaki tu, sitaki kuamini kuwa wewe ndiye mwanamke mwenye roho nzuri kuliko wote Tanzania. Sitaki , sitaki kuamini kuwa wewe ndiye kiongozi wa chombo kinachotegemewa kutunga sheria hapa nchini...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi ni kwanini viongozi wengi wa Afrika hawataki kujifunza kusoma majira ya nyakati? Hivi wanataka kusema wanaweza kupambana na nguvu ya umma kuliko Gaddafi na Mubarak wajifunze kuwa kuna kesho...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
TAARIFA KWA UMMA Hivi karibuni kumekuwa na taarifa iliyotolewa na baadhi ya vyombo vya habari na baadhi ya wabunge kuwa posho ya vikao vya bunge imeongezeka kutoka Sh 70,000/= hadi kufikia...
1 Reactions
53 Replies
5K Views
WanaJF, Hivi ni kweli endapo utakutwa unajadili mjadala wa katiba mpya adhabu ya kifungo itakukabili ama faini kuanzia milioni 5. hii ndio sheria iliyopo kwenye mswada wa sasa? Naomba nipatiwe...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Akiongea na waandishi wa habari leo spika amesema wameongeza posho kutoka 70,000 hadi laki 2 kwa siku.
1 Reactions
364 Replies
26K Views
Kuna umuhimu gani wa kuonyesha siraha za kivita siku ya Uhuru? Katika maandalizi ya leo ni kwamba wanajeshi wataonyesha vifaa na zana za kivita ambazo tanzania inamiliki. Hii Nchi haijapata...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wa zenji walikataa katu katu kampuni za beer kuzamini ligi ya Zanzibar, sasa leo Serengeti Beer wamedhamini pambano la mpira kati ya Wabunge na Wawakilishi kwa Mil 65, yaani mechi ya siku moja tu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Tanzania iliingiaje kwenye shirikisho la umoja wa taifa,je ulikuwa ni uamuzi wa nyerere au ni uamuzi wa serikali ulioridhiwa na bunge?
0 Reactions
19 Replies
1K Views
steven waziri anadai eti miaka 50 ya uhuru tujivunie kuwa na barabara nzuri zilizojengwa anahojiwa sasa hivi idhaa ya kiswahili ya bbc
0 Reactions
15 Replies
2K Views
WADAU WENZANGU, nawasilisha kwenu kero ya kujitakia hapa mbezi mwisho , foleni ya magari inaanza kuanzania saa tisa hadi saa nne usiku. katika kujitaidi kupunguza foleni seriakali kupitia tanroads...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wanajamvi, Nimesikia kwenye taarifa ya habari ya radio sauti ya ujerumani ( dutch welle), kwamba serikali ya Tanzania imepeleka wanajeshi wake ndani ya Congo DRC ili kumuongezea nguvu bwana...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Ikiwa ni takribani miez miwili tangu polisi waue raia wa kijiji cha rungwe.juzi tena wameua mkaz wa kijiji cha mnyegera.rai huyu alikamatwa baada ya wananchi kuwachoma majambazi waliomuua kijana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…