Viongozi wenye kichwa ngumu

A-town

JF-Expert Member
Oct 25, 2011
494
169
Hivi ni kwanini viongozi wengi wa Afrika hawataki kujifunza kusoma majira ya nyakati? Hivi wanataka kusema wanaweza kupambana na nguvu ya umma kuliko Gaddafi na Mubarak wajifunze kuwa kuna kesho na ikifika hakuna mjanja
 
Back
Top Bottom