Serengeti Beer yapenyeza Barza la Wawakilishi

mluga

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
676
215
Wa zenji walikataa katu katu kampuni za beer kuzamini ligi ya Zanzibar, sasa leo Serengeti Beer wamedhamini pambano la mpira kati ya Wabunge na Wawakilishi kwa Mil 65, yaani mechi ya siku moja tu? na ni hawa hawa walikataa timu za Zanzibar zisifaidike na usdamini huu. sasa leo wawakilishi wamesahau haya maa wanataka pesa. Kweli Zenji kuna viongozi
 

Attachments

  • mwakilishi na serengeti beer.jpg
    mwakilishi na serengeti beer.jpg
    44.6 KB · Views: 77
  • wawakilishi.jpg
    wawakilishi.jpg
    43.1 KB · Views: 86
attachment.php


attachment.php


Hapo ndipo uone unafiki wa viongozi wa zenji hata swala la muungano wanalishabikia wakiwa ndani ya bunge tu.
 
Waacheni wajiburudishe Ki Bara wakivuka maji wanakwenda kwa swala tano, full kuigiza hahahahaha
 
Back
Top Bottom