Miaka 50 ya uhuru,je tanzania imepiga hatua? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Miaka 50 ya uhuru,je tanzania imepiga hatua?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mkombozi, Dec 7, 2011.

 1. M

  Mkombozi JF-Expert Member

  #1
  Dec 7, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Wakuu kwa mtazamo wako,miaka 50 ya uhuru Tanzania imepiga hatua au kutimiza malengo yake?Mimi naona imetimiza malengo na ndio maana viongozi wanakula nchi kwa sasa,ina maana kazi imekamilika kwa hiyo hamna kazi iliyobaki.Je wewe una maono gani?
   
Loading...