Sitta ajitosa mgogoro wa Umeya Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sitta ajitosa mgogoro wa Umeya Arusha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mpushi, Dec 4, 2011.

 1. mpushi

  mpushi JF-Expert Member

  #1
  Dec 4, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 243
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mh lema, mkuu wa mkoa Arusha na Meya wamekutana na kushikana mikono katika harambee ya kuchangia Cathedral la kanisa katoliki Arusha mjini. Hayo yametokea chini ya Baba Askofu Josephat Lebulu na Mh Samwel Sitta.

  [​IMG]
   
 2. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #2
  Dec 4, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,032
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  source radio maria ipe credit. naamini haupo kanisani kwani usingeweza kutumia mtandao ama sivo
   
 3. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #3
  Dec 4, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,328
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 160
  Lile zimwi la kutokukubalika kwa diwani wa kata ya Olorien kama Meya wa jiji la Arusha limeendelea kumwandama Diwani huyo leo baada ya kupata mapokezi hafifu kwenye harambee ya ujenzi wa kanisa la Mt. Teresia jijini Arusha inayoongozwa na Mh. Samwel Sitta. Tofauti na wageni wengine waliokuwa wakishangiliwa kwa vigelegele na makofi wakati wa utambulisho, Mh. Gaudence Lyimo hakupata mapokezi hayo kutoka kwa waumini hao kama wenzake. Waumini walionyesha kupoa hadi alipotangazwa mgeni mwingine ndipo hali iliporudi kama awali.

  Mbunge wa Arusha ameendelea kutomtambua "Meya" huyo kwa kumtambulisha kama diwani huku akimwomba Mh. Sitta kuongea na wakubwa wake ili wakamilishe haraka kuumaliza mgogoro uliopo kupitia kamati iliyoundwa na Pinda na Mbowe.

  Ninachojiuliza ni kwamba, ni lini atapata hekima ya kujiuzulu hiyo nafasi ili apate tena heshima kwa jamii ya Arusha. Licha ya kampuni yake ya ujenzi kufanya miradi mingi ya kanisa hilo kabla ya mgogoro huo, waumini hao hawamdhamini tena kama awali. Poor him!
   
 4. P

  Paul Makonda Verified User

  #4
  Dec 4, 2011
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Mh S.Sitta akiwa ktk harambee Mjini Arusha.Ameombwa na kutafuta amani ktk mji wa Arusha kwa kuwapatanisha Mbunge Mh Lema na Meya wa Mji wa Arusha,na akachukuwa jukumu hilo kama ambavyo picha inavyojieleza.
  Nawasilisha
   

  Attached Files:

 5. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #5
  Dec 4, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,032
  Likes Received: 349
  Trophy Points: 180
  Kwani kupeana mikono ndio kumkubali Meya wa Kichina?
   
 6. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #6
  Dec 4, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,940
  Likes Received: 354
  Trophy Points: 180
  Amani Arusha itapatikana kwa meya kujiuzulu na uchanguzi halali kufanyika na si kwa kushikana mikono.
   
 7. mpushi

  mpushi JF-Expert Member

  #7
  Dec 4, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 243
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  At least wameonyesha njia ya kutafuta muafaka na amani jijini Arusha.
   
 8. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #8
  Dec 4, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,799
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  anang'ang'ania kuongoza watu wasiomtaka, ATAJIJU
   
 9. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #9
  Dec 4, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,187
  Likes Received: 4,541
  Trophy Points: 280
  Hivi ukimpa mkono adui yako ndio muafaka? Gaddafi kapeana mikono na Obama, Sarkozy, leo yupo wapi?
   
 10. Rocket

  Rocket Senior Member

  #10
  Dec 4, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nimewaona lakini kimachale sna naona bado ni paka na panya
   
 11. Kilimo

  Kilimo JF-Expert Member

  #11
  Dec 4, 2011
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 773
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  sikitiko kubwa!
   
 12. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #12
  Dec 4, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,493
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280
  Duh !! Kweli Arusha wameamua..

  Mathayo 18:18
  Amin,nawaambieni,yoyote mtakayoyafunga duniani yatakuwa yamefungwa mbinguni; na yoyote mtakayoyafungua duniani yatakuwa yamefunguliwa mbinguni.
   
 13. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #13
  Dec 4, 2011
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Angalia vizuri Isijekuwa photoshop?
  [​IMG]
   
 14. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #14
  Dec 4, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 3,996
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  The body language says it all!
   
 15. undugukazi

  undugukazi JF-Expert Member

  #15
  Dec 4, 2011
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 304
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Cdm =ccm-c
   
 16. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #16
  Dec 4, 2011
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 9,994
  Likes Received: 2,176
  Trophy Points: 280
  Hata katika karate, Wachina huwa wanasalimiana kwa kuinama kabla hawajaanza kuzichapa
   
 17. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #17
  Dec 4, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,032
  Likes Received: 349
  Trophy Points: 180
  Na Kikwete soon ataelekea Mkondo wa wenzake pamoja na Katiba yake ya Kichina
   
 18. BigPunisher

  BigPunisher Member

  #18
  Dec 4, 2011
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbele ya Askofu mkuu Josephat Leburu, Mbunge wa Afrika mashariki Mh. Samweli Sitta .Mbunge Lema ashikana mikono na mkuu wa mkoa wa Arusha na Meya wa Arusha. Lema akihaidi hadharani hana chuki na mtu yeyote binafsi ila hata choka kupigania haki kama haki haita tendeka katika jamii. Amemwomba Mbunge huyo wa Afrika Mashariki kumaliza mgogoro huo mapema. Wadau toeni mchango wenu katika hili.
   
 19. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #19
  Dec 4, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Yale yale yaliyotokea Ikulu last week...
   
 20. Tony Almeda

  Tony Almeda JF-Expert Member

  #20
  Dec 4, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sawa sawa kukosana na hawa magamba ni kwa ajili ya kupindisha haki, kitu ambacho mb Lema amehapa kukipigania mpaka mwisho. Hakuna kupatana hapo mpaka haki ieleweke! big up! Lema mapambano mpaka mwisho.
   
Loading...