Katiba mpya hairuhusiwi kujadiliwa?

Cha Moto

JF-Expert Member
Jul 2, 2011
945
153
WanaJF,

Hivi ni kweli endapo utakutwa unajadili mjadala wa katiba mpya adhabu ya kifungo itakukabili ama faini kuanzia milioni 5. hii ndio sheria iliyopo kwenye mswada wa sasa?


Naomba nipatiwe ufafanuzi wa hili, tafadhali.
 
Back
Top Bottom