Serikali ya Tanzania yashutumiwa kupeleka Jeshi ndani ya Congo DRC | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali ya Tanzania yashutumiwa kupeleka Jeshi ndani ya Congo DRC

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by M-pesa, Dec 7, 2011.

 1. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #1
  Dec 7, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Wanajamvi,

  Nimesikia kwenye taarifa ya habari ya radio sauti ya ujerumani ( dutch welle), kwamba serikali ya Tanzania imepeleka wanajeshi wake ndani ya Congo DRC ili kumuongezea nguvu bwana kabila kunyakua kiti cha urais dhidi ya upinzani.
  Hii imekaaje? Je, kwanini hii tabia ya mabavu sasa inaanza kuvuka mipaka ya nchi yetu?
  Kinachofanyika Congo DRC ndicho kilichotokea kwenye nchi yetu mwaka jana wakati wa uchanguzi. Matokeo yaliotangazwa kwa order maalum waliyokuwa wakipewa watu wa electoral commission, na hivyo kusababisha delay ambayo mpaka leo imeweka historia mbaya itakayochukua muda mrefu kusahaulika.
   
 2. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #2
  Dec 7, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Hakika dhambi ya udhalimu na dhuluma haitomwacha JK.
   
 3. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #3
  Dec 7, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Madikiteta kulindana na kubaka demokrasia ndilo lengo lao kuu
   
 4. M

  Mafie PM JF-Expert Member

  #4
  Dec 7, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 1,318
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Hapa kwetu watawala hawajajua tu kuwa chochote chaweza kutokea muda wowote.
   
 5. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #5
  Dec 7, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Hizo ni shutuma tu mkuu...na ww acha kushadadia kama ni ukweli....
   
 6. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #6
  Dec 7, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Kila kitu kina mwanzo na mwisho wakuu so tusubirie tu tutaona waacheni tu wafanye wanavyotaka.....
   
 7. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #7
  Dec 7, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  tunaomba tupate tamko la serikali kwa nini tuamini tamko la ujerumani .... mashoga wa magharibi
   
 8. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #8
  Dec 7, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Mkuu alikuwa Gadaffi na Rais wa Egypt wote leo wako wapi na Rais wa Ivory Coast leo yupo wapi subiria na hawa dawa yao inakuja mkuu.....
   
 9. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #9
  Dec 7, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  tangazo la wajerumani sio lazima liwe la kweli tuna nafasi ya kufuatilia na kupata ukweli wake
   
 10. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #10
  Dec 7, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  tumekataa ushoga wanaweza kuwa wanataka tugombane na majirani wetu, wenye kuweza kumfikia Membe watupe jibu ili tuweze kuchangia kwa uhakika zaidi
   
 11. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #11
  Dec 7, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  kabla ya kutangaza hao wajerumani wameongea na nani kutoka Tanzania ili kutafuta usahihi wa taarifa hiyo
   
 12. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #12
  Dec 7, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Ni kosa la kidplomasia kutangaza kwamba majeshi ya nchi moja yameingia nchi nyingine bila kupata taarifa za kina kutoka serikali zote mbili husika. suala hili sio dogo kama linavyotangazwa kirahisi
   
 13. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #13
  Dec 7, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  hata kama kafanya JK watanzania hatuna budi kuacha kuwaunga mkono wajerumani kwa sababu hatujui wananchi wa DRC watalichulia kwa uzito upi na linaweza kuleta uhasama. tujitenge na tangazo hili vita ikianza wote ni waathirika
   
 14. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #14
  Dec 7, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  siungi mkono kuingia DRC kijeshi lakini pia siungi mkono kukubali taarifa ya redio ya wajerumani bila kupata taarifa ya upande wa pili wa Tanzania.
   
 15. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #15
  Dec 7, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Duh! wamekugusa nini kama ni uongo tupe ukweli wake maana hiyo ni taarifa tu mzee.
   
 16. S

  Straight JF-Expert Member

  #16
  Dec 7, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Swala c sisi kuanza kupinga kilicho tangazwa... Cha msingi ni Serikali kutoa kauli.... Kwan c idhaa ya ujeruman waliozungumzia... Hata hapa lilisha postiwa b4 hii habari... Wawe makin Upinzan congo una support ya Jeshi iki backfire híi wakaja kwe2, haki ya Mung 2tamnyonya damu ****** na kumuanika juu ya mti.
   
 17. Imany John

  Imany John Verified User

  #17
  Dec 7, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,777
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Tutegemee wakongo kuja kupay bak 2015
   
 18. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #18
  Dec 7, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Haya maneno yako ndiyo yaliyotufikisha hapa tulipo, ndiyo yanayoendelea kuzaa EPA zingine, Richmond-Dowans-Symbion, Radar - na ndiyo yanayoimaliza CCM.
   
 19. SOBY

  SOBY JF-Expert Member

  #19
  Dec 7, 2011
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 1,265
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wacongo wengi mijini hawampendi Kabila, ila siyo majority.
  Si rahisi kutangaza matokeo kwa muda unaotakiwa, ile nchi ni kubwa mno na mawasiiano ni mabovu. Kabila atashinda, ila fujo zitatawala.
   
 20. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #20
  Dec 7, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Omba watakao payback wawe wale waliokuwa favored.
   
Loading...