CHADEMA ndani ya Singida

Unyanga

JF-Expert Member
Feb 6, 2011
402
83
sasa hivi kuna kikao cha kuelimisha wananchi juu ya katiba mpya. Ndo kwanza mada ni ya pili inaelezea historia ya kutafuta katiba mpya.
 
mkuu, asante kwa taarifa, tuongezee uhondo, nani wanatoa mada, mahudhurio, je ni mkutano wa hadhara au ni wa ndani!
 
Tupe list ya makamanda viongozi waliopo,na vipi muitikio wa umma wa hoko wamejitokeza vipi.......
 
ni mkutano wa ndani na mahudhurio ni makubwa sana mpaka watu muda si mrefu watu watakosa pakukaa.
 
Tupe list ya makamanda viongozi waliopo,na vipi muitikio wa umma wa hoko wamejitokeza vipi.......

yupo mbunge mh. Christina lissu na makamanda wengi sana wa ngazi ya mkoa.
 
I wish ningekuwepo, ene wei, utupe ukiweza yanayojiri ukumbini. pia kwa makadirio takwimu ya mahudhurio. je wamevishwa sare? kama kuna dalili zozote za wananchi kusafirishwa! kuna mgao wa posho ili kushawishi mahudhurio! by the wei hongera watoa mada na wananchi waliohudhuria.
 
Hapo kwenye RED hizo ni stail za magamba sio CHADEMA! Mahudhurio kwenye issue za makamanda sio ya kukodi maloli tatizo huwa tu ni kuwahi nafasi ya kukaa kwa utulivu.Chema chajiuza
I wish ningekuwepo, ene wei, utupe ukiweza yanayojiri ukumbini. pia kwa makadirio takwimu ya mahudhurio. je wamevishwa sare? kama kuna dalili zozote za wananchi kusafirishwa! kuna mgao wa posho ili kushawishi mahudhurio! by the wei hongera watoa mada na wananchi waliohudhuria.
 
mimi nipo kwenye kikao,makamanda wamejiandaa vizuri tatizo ni mahudhurio,hakuna kabisa watu ndo mana kikao kimechelewa kuanza..kuna kiongozi mmoja apa wa bavicha ndo anapita pita kuwakusanya wadau wahudhurie kikao.nitaendelea kuwajuza na kueka picha badae.
 
mchampaa Suya nakuja nyumbani wiki ijayo, nataka niweze kufanya kitu kuhusu kuhamasisha wanasingida juu ya katiba. Ningefurarahi tukionana pia na mwanafunzi wangu bwana Isango
 
Ukumbi upi kikao kinafanyika?

Najua songea ni ndani ya kanisa katoliki na singida mnafanyia wapi???
 
mimi nipo kwenye kikao,makamanda wamejiandaa vizuri tatizo ni mahudhurio,hakuna kabisa watu ndo mana kikao kimechelewa kuanza..kuna kiongozi mmoja apa wa bavicha ndo anapita pita kuwakusanya wadau wahudhurie kikao.nitaendelea kuwajuza na kueka picha badae.

mi pia nilikuwepo pale ukumbini mkuu, mahudhurio yalikuwa mazuri 2 na ukumbi uliotumika ulijaa watu au labda unavyotafsiri wingi ni kimagamba magamba.
 
mchampaa Suya nakuja nyumbani wiki ijayo, nataka niweze kufanya kitu kuhusu kuhamasisha wanasingida juu ya katiba. Ningefurarahi tukionana pia na mwanafunzi wangu bwana Isango

karibu sana mkuu, unaweza ukani pm ukikaribia kuja.
 
Siasa za Tz ni za uchwara. CCM=CDM, yaani hauwezi ukatofautisha.
 
Back
Top Bottom