kwa hili waandaaji mumechemka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwa hili waandaaji mumechemka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by figganigga, Dec 7, 2011.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Dec 7, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  Kuna umuhimu gani wa kuonyesha siraha za kivita siku ya Uhuru?
  Katika maandalizi ya leo ni kwamba wanajeshi wataonyesha vifaa na zana za kivita ambazo tanzania inamiliki.
  Hii Nchi haijapata Uhuru kwa njia ya vita sasa zana za vita za nini?vifaru, ndege, mizinga, snipers vya nini? na usiku wa kuamkia tarehe tisa watalipua mafataki mnazi mmoja, kawe na mbagala. mnafanya hivyo ili iweje? kwa hilo mumechemka. Mia
   
 2. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #2
  Dec 7, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mkuu umeniwahi, nilikuwa nafikiri hivvyo hivyo why kivita vita, kuna siku ya majeshi na siku ya mashujaa hizo zingefaa zaidi kwa maonesho ya kivita
   
 3. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #3
  Dec 7, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Kama hawana cha kuonyesha wafanye nini si bora watuonyeshe mizinga ya jeshi.
   
 4. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #4
  Dec 7, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Sielewi wanataka kumtisha nani.
   
 5. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #5
  Dec 7, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  CDM and their followers of course!!
   
Loading...