Spika wa bunge (Anne Makinda) akiri posho kuongezwa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Spika wa bunge (Anne Makinda) akiri posho kuongezwa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by EasyFit, Dec 6, 2011.

 1. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #1
  Dec 6, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Akiongea na waandishi wa habari leo spika amesema wameongeza posho kutoka 70,000 hadi laki 2 kwa siku.
   
 2. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #2
  Dec 6, 2011
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,316
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Angejua wananchi walivyo na hasira nao.
   
 3. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #3
  Dec 6, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Wanajichanganya sana hawa magamba.
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Dec 6, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Katibu wa bunge alipinga, sasa sijui tumwamini nani?
   
 5. Gracious

  Gracious JF-Expert Member

  #5
  Dec 6, 2011
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 1,750
  Likes Received: 343
  Trophy Points: 180
  Mh Anne Makinda,Spika wa Bunge La Tanzania ameweka wazi kwamba Posho za wabunge zimepanda,analalamika upotoshwaji wa makusudi kwamba posho zimepanda toka Tsh 70,000 hadi Tshs 200,000.Hata hivyo hajaweka wazi zimepanda hadi Shs ngapi.Makinda ametoa maelezo haya ikiwa si zaidi ya siku mbili tangu Kashilila aseme kwamba posho hazijapanda.

  Source: Clouds Radio 1800 hours News
   
 6. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #6
  Dec 6, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Bila shaka sasa watashiriki vizuri kwenye misiba kama alivyodai Shibuda!
   
 7. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #7
  Dec 6, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Bunge limekanusha posho hazijaongezwa, Bi Kiroboto anasema Zimeongezwa [​IMG]
   
 8. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #8
  Dec 6, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Hili tatizo la kupinga pinga, linazidi kukomaa miongoni mwa magamba, Wabunge walisema zimeongezwa, katibu akapinga, leo Maddam speaker anakiri zimeongezwa! sasa yule Kashilila sijui anajiskiaje huko alipo, maana hatutarajii Dr. mzima kudanganya kitoto toto namna hiyo
   
 9. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #9
  Dec 6, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Yaani nchi hii kila mmoja anaesema lake angalia swala la kenya kuwashambulia Al-shabaab Kikwete kawaunga mkono Kenya waziri wake Membe anawalaani.....kuhusu kulipwa Dowans Waziri alisema tunawalipa baada ya siku chache raisi akagoma...haya ya bunge katibu anasema posho haijaongezwa spika anasema imeongezwa....yaani hii serikali ni masaburi fulllllllllllllllll
   
 10. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #10
  Dec 6, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Kati yao mmoja utasikia ali overlook!
   
 11. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #11
  Dec 6, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Ingekuwa nchi zingene angefanya maamzi mzito lakini kwa bongo...poa tu na maisha yanaendelea
   
 12. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #12
  Dec 6, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Hivi nyie mwenye wabunge haya huwa mnapisha nao mitaa maana ingekuwa Arusha wanao shadadia posho tungesha warushia mawe....
   
 13. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #13
  Dec 6, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  watanzania tulio wengi kupata mlo mmoja kwa siku ni bahati wao wanajiongezea posho na bado wanapandisha mafuta umeme kila kitu, dah! Amakweli
   
 14. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #14
  Dec 6, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hawakawii kusema mlininukuu vibaya.
   
 15. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #15
  Dec 6, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  hawana aibu
   
 16. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #16
  Dec 6, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Halafu amewasemea wabunge kuwa mshahara wanaopokea ni mdogo sana ukilinganisha na majukumu wanayofanya. Hivi huyu mama ana ndugu nyumbani kwao au ndiyo wale waliokimbia kijijini kwa kukataa kuolewa?
   
 17. M

  MASIKITIKO JF-Expert Member

  #17
  Dec 6, 2011
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 841
  Likes Received: 203
  Trophy Points: 60
  SIWALIKANU KUPITIA KATIBU WA BUNGE!LEO WAMEKUBARI !KWELI NCHI HII INAENDESHWA ......MTAMALIZI .Masikitiko log out
   
 18. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #18
  Dec 6, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  yaaani hii nchi bana ni kama fuko la mavi
   
 19. g

  goodlucksanga Senior Member

  #19
  Dec 6, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Endeleeni kukamua sana wananchi Siunajua tena hii ni nchi ya Wazembeee....!!
   
 20. King2

  King2 JF-Expert Member

  #20
  Dec 6, 2011
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  KaMA NI KWELI NI MATAAHIRA.
   
Loading...