Madeni yanayodaiwa Tanzania imefikia kiasi gan?

Matope

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
892
679
Kutokana na Nchi yangu kuwa No 1 afrika kwa kutembeza bakuli la kuomba Misaada,Pls mwenye takwimu atuwekee hapa je Imefikia Tsh ngapi mpaka sasa?
 
aibu ujinga wa mwafrika unakua ombaomba wakati nchi imejaa utajiri wa kutupwa
 
Kutokana na Nchi yangu kuwa No 1 afrika kwa kutembeza bakuli la kuomba Misaada,Pls mwenye takwimu atuwekee hapa je Imefikia Tsh ngapi mpaka sasa?
 
Nadhani itakuwa vyema Mstafa Nkulo atupe takuimu hizi na zichapishwe kwenye gazeti la serikali. Ilitujue kama kiasi cha fedha tunachodai kimeshafikia bei halisi ya nchi nzima. Ili Tuwakabidhi wadeni wetu nchi yetu nzima kabla hawajaanza kutudai na riba juu kama DOWANS wanavyotudai tuzo yao na riba juu.

Au mnaonaje wenzangu?
 
Aaah! Nashauri kila mwananchi awe anachangia sh 100 kwa mwezi ili kulipia madeni hayo.
 
Back
Top Bottom