Je ni kiongozi gani ktk nchi hii mwenye huruma na wananchi?vip makinda na shibuda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je ni kiongozi gani ktk nchi hii mwenye huruma na wananchi?vip makinda na shibuda

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by WhiteHouse, Dec 7, 2011.

 1. W

  WhiteHouse Member

  #1
  Dec 7, 2011
  Joined: Nov 26, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Nimekuwa nikitafakari sana juu ya nchi yangu ya Tanzania.Nchi iliyojaliwa kila aina ya rasimali,nchi yenye amani inayoridhisha ukilinganisha na nchi nyingine lakini ni nchi iliyojariwa viongozi wachumia tumbo.Sisi watanzania ni nani aliyetoroga?Je kwa maisha haya ,kizazi kijacho kitakuwaje?Je ni nani atakayeikomboa Tanzania yetu?Ukiangalia vijana nao tumekuwa washabiki wa vyama,wazee wetu ndo usiseme,mabibi na mababu kama wamerogwa na ccm?Tufajaje jamani?Ebu toeni mawazo yenu na muelimishe wengine kuwa tunahitaji ukombozi.
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Dec 7, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  hakuna hata mmoja mkuu hapo :shock:
   
Loading...