inasemekana makubaliano ya mwanzo ya uhuru wa Tanganyika yalifanyika mjini arusha.kwa wale wakongwe mnaweza kuthibitisha au kukanusha jambo hili.kama ni kweli kwa nini arusha imetengwa katika...
Wakuu heshima kwenu, kulingana na habari zilivyo ni dhahiri kwamba Mbunge Kafulila kavuliwa uanachama wake. Jambo hili limenisukuma kuyapitia makabrasha kadhaa kuona kama kwa kuvuliwa uanachama...
Mjadala wa Kipindi cha TUONGEE ASUBUHI upo hewani na Sinai Shaka undani kuhusu mgogoro unaofukuta ndani ya cuf utatolewa sura ya upande wa pili kwa kina. Fuatilia mjadala
In the last 50 years of independence, the biggest challenge, is the production of the weird role models, which the youths in general, and we people in academia, are condemned to look at, admire...
Gari lapigwa risasi saba na polisi
Dereva wa gari aina ya Toyota Town Hiace amenusurika kifo baada ya gari lake kupigwa risasi saba ubavuni na kutokea upande wa pili kufuatia ubishi uliozuka...
Mara kadhaa kwenye thread mbalimbali kumekuwa na kundi kubwa la mashabiki na wapenzi wa chadema kuonyesha waziwazi kutokuwa na imani na Zitto Kabwe mtu ambae walimuamini na kumpenda sana kabla...
Ilikuwa baada ya uchaguzi wa mwaka jana,pale ambapo Chama cha wananchi{CUF} kilipo amua kuingia kichwakichwa
kwenye ndoa ya mkeka na CCM.Bila kutambua mtego uliokuwa mbele yao,MAALIM na wenzake...
CCM ndo chama kilichoshika dola ingawa kuna sintofahamu ya ukwel wa ushindi huo.
Imekuwa ni jadi kwa wana CCM Kutoa matamko na kukiponda CDM ili kiweze kuuza sera zake,je?Chama tawala ni cdm...
Awali ya yote binafsi nitoe sikitiko langu kwa baadhi ya vijana ambao wameanza kuonesha kujikweza kwa nafasi walizo nazo na katika kuelekea kule ambako wao huita ni kupata "umaarufu." Lakini...
hivi ulishawakujiuliza hawa wanasiasa wetu tunaowashabikia wana malengo mazuri ya kuleta maendeleo maana kila kukicha ni malumbano ndani ya vyama vyao hawa wanavuana magamba (ccm), hawa...
Nimesikitishwa sana na kauli ya Naibu Wazili wa Elimu kuwa wanafunzi watakaobainika kuwa hawajui kusoma na kuandika na wamefaulu kwenda sekondari, watarudishwa na kisha walimu wa shule walizotoka...
Suala la malumbano ktk vyama vyetu vya upinzani kweli limekithiri,sasa tumechoshwa na malumbano yasiyoisha,malumbano yanayoendelea ndani ya CUF na NCCR Mageuzi ni dalili tosha kuwa kuna kuna watu...
Nchi yetu ilipoingia katika mfumo wa vyam vingi haikuandaa mazingira mapya ya siasa nadio chanzo kikubwa cha migogoro. Chama Tawala hakikuruhusu mfumo huo kwa moyo mweupe. Katiba ya nchi...
Seif akilonga kutumia kodi za walala hoi wa Zanzibar kasema hawana mgogoro na kama kuna mtaka uongozi afuate taratibu za kawaida za Baraza lao KAFU .
Kuhusu Katiba yeye analia na Zanzibar tu na...
Swali alilouliza Bwana Damumbaya mwakilishi wa TV Mlimani limenishangaza sana has kwa credibility ya Chuo Kikuu.
Kauliza eti JK ana maoni gani kuhusu matokeo ya utafiti wa REDET na SYNOVATE wa...
Tangu kuanzishwa kwa vyama vingi imejitokeza tabia ambayo isipokemewa mapema itakuja kutuletea balaa siku si nyingi.Hivi vyama pinzani vimeanzisha vikundi vya kulinda maslahi ya vyama vyao...
MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amesema anaridhishwa na mafanikio ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar.
Amesema kutokana na hali hiyo, hafikirii kwamba...
Majuzi Rais mteule wa Zambia Michael Chifunya Satta aliwapiga vijembe viongozi ambao wamekaa muda mrefu madarakani kwa kuwachana live kwamba wako tangu enzi za Nyerere na kwamba anachoona sasa ni...
Kuna mgogoro mkubwa unaoashiria Mapigano eneo Ada Estate karibu na ofisi za TCD zamani.
Kikao kinashindwa kuanza Mbatia kaleta Majeshi na wajumbe feki 25.
Maalim Seif kunena leo Ikulu Zanzibar
KIONGOZI mashuhuri wa Chama cha Wananchi (CUF), Hamad Rashid Mohamed, amesema ataunda chama kipya na kikubwa cha siasa ikiwa atafukuzwa uanachama kwa...