Mh. Hamad Rashid LIVE on Star TV | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh. Hamad Rashid LIVE on Star TV

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Yahya Mohamed, Dec 18, 2011.

 1. Yahya Mohamed

  Yahya Mohamed Verified User

  #1
  Dec 18, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 270
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mjadala wa Kipindi cha TUONGEE ASUBUHI upo hewani na Sinai Shaka undani kuhusu mgogoro unaofukuta ndani ya cuf utatolewa sura ya upande wa pili kwa kina. Fuatilia mjadala
   
 2. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #2
  Dec 18, 2011
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  yah! He is on air.weekend murua kwa nccr ya mageuzi ya kweli na cuf ya pemba
   
 3. Yahya Mohamed

  Yahya Mohamed Verified User

  #3
  Dec 18, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 270
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nafasi Yako mwanaJF muulize Maswali na yatasomwa Live
   
 4. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #4
  Dec 18, 2011
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Shukrani kwa fursa hii Yahya, nayaandaa maswali japo mawili
   
 5. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #5
  Dec 18, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Asante yahya !
   
 6. kanta

  kanta JF-Expert Member

  #6
  Dec 18, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 343
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Naona Hamad anasema Katiba ya Jamuhuri ya Muungano inasaidia kuleta migogoro kwenye vyama kwa kuwa inalazimisha watu wawe kwenye vyama ili waweze kuwawakilisha wananchi, matokeo yake ni kwamba watu ambao hawana interest na vyama wanalazimika kuwa wanachama wa vyama flani.

  Hii ina maana analaumu kwanini mgombea binafsi hajaruhusiwa?
   
 7. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #7
  Dec 18, 2011
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Huku niko mbali sana wala simsikii.Naomba niulizie maswali yangu kwake (a) ......akijibu muulize (b).

  (a) Hivi unachotaka hasa ni nini ndani ya CUF?.
  (b) Pindi ukipewa ukatibu mkuu hata bila uchaguzi utaridhika na kunyamaza?.
   
 8. PSI Factor

  PSI Factor Member

  #8
  Dec 18, 2011
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante Yahya, wewe ni mmoja wa watangazaji wachache wenye uthubutu wa kuyatumia maoni yetu humu.

  Alichoongea Hamad juu ya wanahabari kutojiona wasafi nyakati zote, haoni kama ni yaleyale kwa wanasiasa akiwemo yeye?
   
 9. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #9
  Dec 18, 2011
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kwa ni nini vyama upinzani nchini vimekuwa vikiandamwa na migogoro,je inasababishwa na wana chama wenyewe ama mamluki kama wanavyodai wenyewe?
   
 10. PSI Factor

  PSI Factor Member

  #10
  Dec 18, 2011
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ok, wao kama wanasiasa wanaionaje kasi na nguvu ya New Media (mitandao ya wavuti na simu n.k)? Wamejiandaaje kushiriki? Kama hajui maana ya New Media basi mwache usiendelee kumwuliza maana yawezekana anadhani inatakiwa kuwa controlled.
   
 11. kanta

  kanta JF-Expert Member

  #11
  Dec 18, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 343
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Naomba nimuulize Mzee wangu hapo Hamad Rashid, ni kwa nini ameanza harakati za kuwania ukatibu mkuu mapema kiasi hiki tofauti na taratibu za kichama? Je kwa sisi ambao tuliofuatilia kipindi cha mwanzo kabisa bungeni mara baada ya uchaguzi na kuona jinsi alivyokuwa anahangaika kubadili vifungu vya bunge ili kuwe na kambi isiyo rasmi bungeni,atatushawishi vipi kuwa yeye si mroho wa madaraka?
   
 12. Mdau

  Mdau JF-Expert Member

  #12
  Dec 18, 2011
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,771
  Likes Received: 252
  Trophy Points: 180
  Swadakta ndugu Yahya, swali langu:

  a} Ukizingatia ukomavu wa Mh.Hamad katika siasa, je ni sahihi kwa yeye kuanzisha chama kingine endapo atafukuzwa CUF???
  b} Anaongeleaje muafaka wa CCM na CUF kwa sasa, umemaliza kiini cha tatizo Znz?
  c} Muungano; una maslahi kwa Wazanzibari wa kawaida {tofauti na viongozi}?
   
 13. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #13
  Dec 18, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  @yahya


  Namuuliza Hamad Rashid:

  Je yeye akiitwa mroho wa madaraka itakua anaonewa? Alipokuwa mkuu wa kambi ya upinzani hakusema kitu na alipokosa akaanza malumbano bungeni na kambi rasmi. Je, nikisema kuwa kwa sasa anataka ukatibu mkuu kwa nguvu itakuwa namuonea? Kama uchaguz ni 2014, mbona ameanza mapema? Kwani kampeni tayari? Na kwanini hayo madai asiyapeleke kwenye vikao?

  Au kama CUF ni wazush, kwanin wasijitenge waanzishe chama chao?
   
 14. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #14
  Dec 18, 2011
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Muulize:
  Kwanini wakati yeye anatangaza kuwa na ugomvi na mwenzake. maalim Seif mwenyewe hajaonesha uhasama naye na yuko kimya.Hali hii imekujaje?.
   
 15. PSI Factor

  PSI Factor Member

  #15
  Dec 18, 2011
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo jamaa yetu wa TADEA, anadhani kuna haja ya chama chake kuendelea kuwepo? Au vyombo vya habari ndivyo vimemnyima fursa ya kusikika?
   
 16. libent

  libent JF-Expert Member

  #16
  Dec 18, 2011
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 385
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  mimi naomba nimuulize swali hili. Mh Hamadi Rashid wakati CUF inaingia ndoa na cccm hukuliona hili kwamba litadhoofisha chama chenu kisiwe tena chama cha upinzani, mbona hatukusikia ukipinga mfumo huu?
   
 17. a

  alinanuswe New Member

  #17
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mheshimiwa Ahmad Rashid apambane na asiogope hakuna mtu mwenye hati miliki ya siasa za nchi kila mtu ana haki ya kushiriki katika siasa za nchi. Maalim seif amekwisha nogewa.

  Ila na wewe uache tabia ya kuwasakama wapambanaji wengine kama CHADEMA. Chama chenu kimepoteza mwelekeo na sasa kimeacha kuwatumikia wananchi na kuanza kugombea ruzuku ambazo ndio nahisi ni chanzo cha migogoro katika vyama vingi vya siasa.

  Na nyie waandishi wa habari muache kutumiwa simameni katika taaluma wanasiasa huwa wanawatumia wakati wakiwa na shida ila mkitoa maovu yao wanawashambulia
   
 18. W

  Welu JF-Expert Member

  #18
  Dec 18, 2011
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 815
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  swali kwa Hamadi. Je haoni cuf kuungana na ccm ndio chanzo cha mgogoro ? Maana imefanya Seif kuacha kufanya siasa za upinzani na kutekeleza sera za ccm? Ile ngangari iko wapi? Je ni lazima Hamad aanzishe chama au awe ktk chama?
   
 19. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #19
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Yahya,

  Asante sana kwa fursa hii.

  Naomba umuulize Hamad; kwa maoni yake baada ya kutafakari sana mustakabari wa siasa na nchi ya Tanzania, kama angekuwa na uwezo wa kureshape au kuanzisha upya, nini angefanya tofauti na ni eneo gani linahitaji mabadiliko makubwa?
   
 20. D

  Dotowangu JF-Expert Member

  #20
  Dec 18, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  swali langu kwa hamad rashid mohammed ni kitu gani kime kupelekea kutangaza nia?
   
Loading...