Blue guard, Red brigarde,na Mabaunsa wa Nccr wanahatarisha amani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Blue guard, Red brigarde,na Mabaunsa wa Nccr wanahatarisha amani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Makupa, Dec 17, 2011.

 1. M

  Makupa JF-Expert Member

  #1
  Dec 17, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Tangu kuanzishwa kwa vyama vingi imejitokeza tabia ambayo isipokemewa mapema itakuja kutuletea balaa siku si nyingi.Hivi vyama pinzani vimeanzisha vikundi vya kulinda maslahi ya vyama vyao ,naamini kabisa hivi vikundi ambavyo vinapata mafunzo na mbinu chafu za kuleta fujo vinaweza kuja kujeuka Intaharamwe pindi vyama husika vitakapotokomea kwenye medani ya siasa za Tanzania
   
 2. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #2
  Dec 17, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  green guards wanalinda amani
   
 3. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #3
  Dec 17, 2011
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  ni wahuni tu wote hao waterguards
   
 4. middo

  middo JF-Expert Member

  #4
  Dec 17, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 204
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Ndo inaanzaga hivyohivyo mwishoe wananunuliwa 'SMG'
   
 5. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #5
  Dec 17, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 2,266
  Likes Received: 652
  Trophy Points: 280
  Umewasahau Green Guards bahati mbaya au ndio lengo lako?

  Unaogopa nini?
   
 6. KING COBRA

  KING COBRA JF-Expert Member

  #6
  Dec 17, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 2,783
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Wewe ni CCM??? Mbona hukemei GreenGad ya CCM???
   
 7. B

  Bubona JF-Expert Member

  #7
  Dec 18, 2011
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 449
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hoja yako hana mashiko. Imejaa upotoshaji na upendeleo.
  Kama kweli unaamini makundi ya ulinzi katika vyama vya siasa ni hatari basi ungetaja ya vyama vyote including CCM. What is special with CCM? Do you think by saying 'vyama pinzani' you prtect your CCM from evaluation?. Not at all in JF, not at all in Uswazi!!. Shame on you!.
   
Loading...