Kwanini wapenzi na mashabiki wengi wa CHADEMA hawamuamini tena Zitto Kabwe? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini wapenzi na mashabiki wengi wa CHADEMA hawamuamini tena Zitto Kabwe?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MsakaGamba, Dec 17, 2011.

 1. MsakaGamba

  MsakaGamba JF-Expert Member

  #1
  Dec 17, 2011
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 392
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mara kadhaa kwenye thread mbalimbali kumekuwa na kundi kubwa la mashabiki na wapenzi wa chadema kuonyesha waziwazi kutokuwa na imani na Zitto Kabwe mtu ambae walimuamini na kumpenda sana kabla hawaja anza kupoteza imani na mapenzi nae.

  Sasa hivi usishangae kuona wanachama na wapenzi wa chadema kutokumpa kabisa nafasi ya kumzunguza kwa mema mbunge huyo machachari na matokeo mazungumzo mema yameelekezwa sana kwa John Mnyika, Tundu Lissu, Mdee na wakati mwingine kwa Godbless Lema.
  Kautafiti kangu kadogo kamenisukuma kujiuliza na kuamua kuungana nanyi magreat thinker.

  Hivi ni kwa nini wapenzi na mashabiki wa chadema hawana tena imani na Zitto Kabwe?
  Tafadhari weka sababu huenda zikamsaidia kujirekebisha.

  Nawasilisha.
   
 2. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #2
  Dec 17, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Uzuri wetu tuko wazi kiongozi akifanya vizuri tunamsifia mnafiki tunampa LIVE on the spot haijalishi ana influence kiasi gani kwa jamii.
   
 3. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #3
  Dec 17, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  ...kigeugeu.
   
 4. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #4
  Dec 17, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hilo sio swali. Swali la pili?
   
 5. Imany John

  Imany John Verified User

  #5
  Dec 17, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,777
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  divide and rule method


  Mtoa mada soma kwanza hapo juu.
  Alafu utuambie hoja yako inatofauti gani na hapo.
   
 6. MsakaGamba

  MsakaGamba JF-Expert Member

  #6
  Dec 17, 2011
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 392
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Sasa hapa unataka nisome nini wakati hapo juu nilichoandika kinaeleweka?! Ungekuja na majibu ya hoja sio kuzomoka!
   
 7. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #7
  Dec 17, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  People began to lose confidence in Zitto when he suddenly pulled out from his campaign against exploitative mineral accords struck between the government and unscrupulous offshore entities. This was very point when everyone started to suspect that the then plainspoken critic of the government was perhaps already been listed in RA payroll and they had a reason for their suspicion.

  He went on contradicting himself when he announced his ambition and then stood to challenge Mbowe in party's inside election which however saw the former withdraw his nomination, at Slaa insistence, in very final stages. Since then, Zitto has become increasingly maverick and has turned out to be a fierce disparager of his own fellow high officials at Chadema.

  What astounds people more is his close association to JK than he does to his people at Chadema which thing prompt others to even predispose to believe that the guy is not commited to serving Chadema but clearly, from this evidence, there is an implication that he is very liable to Magamba.
   
 8. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #8
  Dec 17, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Ujue pro-Chadema wengi ni mateka wa Mbowe, sasa wanauona Zitto ni tishio kwa boss wao..

  Kuanzia kipindi kile Zitto kutaka kugombea uenyekiti wa Chadema, ndio chuki ilianzia apo!
   
 9. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #9
  Dec 17, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Zitto Kabwe ni kijana mdogo (nikilinganisha na wakuu wengine katika Siasa); Hivo ni dhahiri level ya patience ndani yake ina mlipuo lipuo (naona anahisi anachelewa, or maybe kua anakua underestimated nafasi yake ndani ya chama). Hio yaweza ikawa imepelekea kufanya baadhi ya maamuzi ambayo sio.... IMO He would have been a good CDM Leader - yawezekana hata Great Leader, angeweza pata yale malengo yake ya awali ambayo alikua akiamini atapata kwa haraka... (ya uongozi wa juu kuliko alipo).

  Wasio muamini ni wale ambao maybe wanafuatilia Siasa... Ila ukweli unabaki kwa wapenzi na wadau wa Siasa wamegundua kua Zitto kabadilika- He is not the same Man he was before... That only shows kazi ipo kupata watu ambao Misimamo yao ni ya kweli na imekubalika na wananchi alafu ibaki kua consistent in the long run.....
   
 10. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #10
  Dec 17, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,966
  Trophy Points: 280
  Wanaompinga Zitto ni wachaga!. Wanahofia Zitto kuchukua madaraka kwenye taasisi yao.
   
 11. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #11
  Dec 17, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Mbona madaraka anayo tayari? Ni Katibu Mkuu Msaidizi wa Chama. Au unamaanisha madaraka gani?
   
 12. TASLIMU

  TASLIMU Senior Member

  #12
  Dec 17, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Zitto kawa mbinafsi sana,mi sasa hiv nakuambia nipo jimbon kwake,kigoma kask_kata ya mkigo,mi tena nakuambia kigoma kask kama atasimama kijana sio wazee,kupambana na zitto,safar ya siasa itaisha.mkitaka habar za kgm kask mniulize tu
   
 13. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #13
  Dec 17, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  hakai ofisini wala hajishughulishi na mambo ya chama siku hivi akiongea ni kama Zitto Siyo naibu katibu mkuu wa chadema.. mnafiki sana. then ukaribu wake na kina RA,EL na JK, pia kampuni ya barrick... I hate Zitto
   
 14. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #14
  Dec 17, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Na katika thread hizo hizo wapo pia wanaoonyesha kwua bado wana imani na Zitto. na wao pia watupe sababu kwa nini wanaendelea kumwamini, labda itamsaidia Zitto kuzidi kujiimarisha
   
 15. L

  Luiz JF-Expert Member

  #15
  Dec 17, 2011
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 342
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kweli nape anakazi kwa huyu mzee yaani toka aingie humu jamvini comment zake kwa pro-chadema ni uchaga tu.
   
 16. MsakaGamba

  MsakaGamba JF-Expert Member

  #16
  Dec 17, 2011
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 392
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Na hata thread hii kwa michango iliyopo inatoa majibu kuwa wanao mkubali ni wachache kuliko wengi wanao onyesha wasiwasi hasi na yeye. Na hili halipo hapa jukwaa la JF peke yake. Ukweli uko wazi kuliko uongo ulio jificha.
   
 17. nice 2

  nice 2 JF-Expert Member

  #17
  Dec 17, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 746
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ni Mbowe amekutuma? Mbona unahangaika sana kuhamasisha chuki juu ya Zitto? Umeshatoa mada si utulie upate maoni au uchangie unapoona panakugusa? Umeona haitoshi unang'ang'ania wasio na imani ni wengi. Uchambuzi wako unafikiria JF iliyojaa maadui wa Zitto ndio itabadili ukweli wa mazuri yake?
  Well, umetaka sababu za watu wengi kupoteza imani juu ya zitto.
  1. Sio kweli kwamba watu wengi wamepoteza imani, ila kuna kundi la watu tena ndani ya chama chake kwa kumhofia wanapandikiza mbegu za chuki juu yake na kujitahidi kufanya watu wapunguze imani kwake, ila anayoyafanya yako wazi mbele ya Wote wenye macho na maskio.
  2. Zitto yuko huru juu na anachoamini kuwa sahihi, hafanyi siasa za kizee na haoni tabu kumsifia mtu anapofanya jambo jema hata kama si wa chama chake. Mfano rahisi ni ishu ya posho, wameshakubaliana kama chama kwamba posho ya vikao si stahili yao, lakini watu wana tamaa wanaendelea kupokea tu huku wanasema wanapinga, sasa ujinga kama huu ndio Zitto asioweza kuuvumilia, yeye akaamua kutokupokea. Unategemea hapo watampenda?
   
 18. Godlisten Masawe

  Godlisten Masawe Verified User

  #18
  Dec 17, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 739
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mh. Zito ni member wa JF humu, nadhani huu ndio muda muafaka aingie na kujibu hoja za wadau?
   
 19. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #19
  Dec 17, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Msaka gamba Mmemaliz kujadili? maana thread imeanzishwa na mtu mmoja na anajibu kila eneo kwa idz tofauti.
  Wewe kama umeona hivyo kwa hiyo unasemaje? maana nadhani hata wewe una jibu. Ebu sasa wewe magamba tupe jibu lako! Na unaruhusiwa kuendelea kujibu kwa idz nyingi unavyoweza. Mie binafsi kaa la moto nakuruhusu!
   
 20. r

  raffiki Senior Member

  #20
  Dec 17, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtazunguka na maneno mengi..,ni kweli zito watu wengi wazee kwa vijana wameshapoteza imani naye. Sababu kubwa ni moja tu nayo ni kuwa zito alipendwa na watu wa lika zote kwa kutetea nchi na wananchi kwa dhati kbs.,baada ya muda zito akageuka kuwa rafiki na mtetezi wa aliokuwa akiwapinga kwa maovu yao kwa nchini na watu. Japo anajaribu kujiweka kwenye kivuli kuwa bado anatetea wananchi...watu wanaona mienendo yake na anachojifanya kutetea haviendani. Hiyo ndio sababu kubwa.


  Kuhusu mtazamo wangu.

  Zito ameingizwa chaka bila kujijua..,alidhani au bado anadhani urafiki wake na watu wa CCM ni kwa manufaa yake.Nionavyo mie ni kuwa CCM ilitafuta njia ya kummaliza zito maana asingepoteza umaarufu ilikua hatari kwa CCM. Walimu-win kwa kumsogeza awe rafiki wa CCM kwa kumkosha kama wana-mu appriciate sana hivi...rafiki yangu mmoja aliwahi kunidokeza dini pia ilitumika kumshawishi zito ili ainge kwenye mtego huo. Mtego umenasa..shv hana marafiki CDM bali anao wengi CCM..Je jiulize hajamalizwa bado?na je ulishawahi ona mtu anatoka chama cha upinzani na kuingia chama tawala bila kuanzia chama hicho tawala na kufikia level kubwa ya uongozi wa chama tawala..time will tell...wait,zito anakila sababu ya kujilaumu kwa kujichanganya kapoteza CV yake nzuri ambayo alianza kuijenga ambayo ingempelekea hadi hata kuwa rais wa nchi hii..mazingira ya zito sasa yanamtoa kuaminiwa tena na wananchi wengi kama iliyokuwa mwanzo. Have a look..January ambaye kwa muono wangu amepewa jukumu la kuwa karibu na zito sana siku hizi kama rafiki hv...Japo inaonekana na inasemwa sana mitaani na humu JF juu ya undumila kuwili wa makambaz family,kwa mfano alikuwa msaidizi wa JK baadae ikasomeka anapingana na JK na hata mwanae Riz1. Kwa kigezo hicho nashawishika kuona kuwa Zito anamalizwa kiaina pia na urafiki huu wa kasi na kisiasa kati yake na january sijui ulikuwa wapi zamani najiuliza pia?? utaona trend shv january popularty yake inakua lkn zito inashuka ndio maana hata watu wameanza kuweka post za kuhoji humu JF. Hamuoni kuwa mtego umenasa na zito kamalizwa kisiasa hapo????? sijui lkn ni muono wangu tuu katika intelegensia za mambo ya siasa.
   
Loading...