Tanzania na siasa za majitaka

libent

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
382
84
hivi ulishawakujiuliza hawa wanasiasa wetu tunaowashabikia wana malengo mazuri ya kuleta maendeleo maana kila kukicha ni malumbano ndani ya vyama vyao hawa wanavuana magamba (ccm), hawa wanafukuzana kwenye chama(nccr-mageuzi), hawa wanaleteana mabaunsa yaani green guard (cuf)
 
Back
Top Bottom