Mji wa Arusha na harakati za kutafuta uhuru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mji wa Arusha na harakati za kutafuta uhuru

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jackbauer, Dec 11, 2011.

 1. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #1
  Dec 11, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  inasemekana makubaliano ya mwanzo ya uhuru wa Tanganyika yalifanyika mjini arusha.kwa wale wakongwe mnaweza kuthibitisha au kukanusha jambo hili.kama ni kweli kwa nini arusha imetengwa katika sherehe za miaka 50 ya uhuru?
   
 2. PATOXIC

  PATOXIC Member

  #2
  Dec 11, 2011
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nakushauri kesho ukiamka nenda maktaba halafu uje na majibu sahihi kama huwezi kuhangaika acha kupost pumba.
   
 3. M

  Maengo JF-Expert Member

  #3
  Dec 12, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wanaojua watamjibu.
   
 4. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #4
  Dec 12, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Arusha haitawaliki kwa kipindi hiki
   
 5. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #5
  Dec 12, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Acha kujidai mjuaji wewe, kama hujui si ufunge hayo masaburi yako...
   
 6. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #6
  Dec 12, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kama itakuwa hivyo Arusha itakuwa na .... double impact... ukizingatia ndipo lilipozaliwa Azimio la Arusha!!
   
 7. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #7
  Dec 12, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Thread haina tatizo wanaojua watachangia hadi ikamilike!! Kwani kuna namna nyingi za kuanzisha thread ... !!
   
 8. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #8
  Dec 12, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Arusha inasemekana itakuwa Benghazi ya Tanganyika!
   
 9. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #9
  Dec 12, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  tusaidiane kupita maktaba ili tupate majibu sahihi.
   
 10. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #10
  Dec 12, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Mkuu, historia ya mkoa wa Arusha ni ya kidemokrasia nadhani kuliko sehemu nyingine. Uchaguzi mkuu ulioleta uhuru wa Tanganyika ulimwacha hata Nyerere hoi pale walipolazimisha jina la mgombea aliyeshindwa kwenye kura za maoni kwakuwa tu alitoka kwenye familia ya kichifu huko Mbulu kabla ya kugawanywa na kwenda mkoa mpya wa Manyara! Mgombea wa Tanu alishindwa vibaya na mgombea waliyemwacha huku akiwa mgombea binafsi asiyekuwa na chama.

  Jimbo la Arusha mjini ni moja ya majimbo ambayo yalitumbukia upinzani mara baada ya mfumo wa vyama vingi na hadi leo kwa watawala Arusha ni tatizo kisiasa!.
   
 11. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #11
  Dec 17, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  tuendelee kutafuta ukweli!
   
 12. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #12
  Dec 18, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  wakuu naomba tuendelee na mjadala wetu.nimejaribu kugoogle na kubahatika kupata maelezo hapo juu.
   
 13. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #13
  Dec 18, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  halafu napata swali kwa nini uhuru monument ijengwe arusha na si kwingineko??
   
 14. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #14
  Dec 18, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Ndiyo maana tunataka Arusha ijitangazie uhuru wake!
   
Loading...